Kanionjesha Utamu!!!!!

Haloo huyu kama ni mkeo amekutayarishia maakuli namna hii, hakika baba umeoa, nakuonea wivu:tongue:
 
Ugali mkubwa sana huo ama una minyoo?? Ama wewe ni mlafi? Ama ni chakula cha familia?
 
Mate yananitoka,natamani saa 7 ifike niende break point
 
Ngoja nimpigie simu mywife wangu aniandalie kama hii:tongue:
 
asante kwa kunichagulia lunch!
nasubiri tu saa saba ifike
 
kudadadadaaadeki kwenye ile sahani sio mdudu ule.................hebu nimpigie simu mchaga aniandalie na TUSKER bariiiidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…