Kanikuta nanunua boksa ya mtumba

Kanikuta nanunua boksa ya mtumba

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Nilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.
 
Cjakuelewa kilichokuwa kinakupa mashaka ni kumsogelea huyo dada au kuonekana na huyo dada unanunua boxer ya mtumba
 
hahaaaaa benteke.. boksa ya mtumbaaa.... mshukuru huyo binti maana hadi bei ilipungua inavyoonesha..
 
Last edited by a moderator:
A man's confidence only pays when everything else just stays away in his life

Kuna mtu ni chokambaya ila kwa confidence yake tu.....utampenda bureeeee
 
Kweli.? Mi kabla ya kupata papuchi haipo
 
Hilo neno wangu eeh uzuri wa mwanaume kujiamini inawezekana angejipatia kamchumba kwa kumuuliza tu eti dada hii boxer ni nzuri??
 
Nilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.

Wakuu, let us be honest. Kipi bora kati ya boxer ya mtumba na mchina mpya? I would go for a brand new Chinese thing even if it will last for two weeks only!
 
Kweli.? Mi kabla ya kupata papuchi haipo

Benteke na siku hizi wanawake wanapenda wanaume ambao wana self confidence mara ya kwanza kuonana asa michechezo huo mgegedo utakuwa unaiusikia kwa wenzio wanaojua kukamatia fursa
 
Nilipomuona mdada anakuja kwa mbali huku akinengua,basi mimi nikamrushia muuza mitumba boksa yake na kuanza kutembea huku nazuga ili mdada asinishtukie.......Huju jamaa muuza mitumba si akaanza kunikimbilia huku kaishika ile boksa juu....eti, "sema kaka una shilingi ngapi" Najifanya kama sio mimi vile mara akanipita akasimama mbele yangu, "Haya nipe basi hiyo buku mbili" bint huyu hapa kashafika, alichokifanya ni kunitabasamia tu.
benteke sasa unachanganyikiwa dude!
 
hahahaha...noma sana,bila shaka kwa aibu ukaiacha na chinga kakupunguzia hadi buku mbili
 
Benteke na siku hizi wanawake wanapenda wanaume ambao wana self confidence mara ya kwanza kuonana asa michechezo huo mgegedo utakuwa unaiusikia kwa wenzio wanaojua kukamatia fursa

Tatizo mnajifanya matawi sana...sasa huyu bidada nnavyomjua lazima ataenda kuntangaza..."mwaname mwenyewe anavaa boksa za mtumba nimpeleke wapi?"
 
Back
Top Bottom