Kanikimbia baada ya kumtaka tukapime H.I.V

Kanikimbia baada ya kumtaka tukapime H.I.V

wanawake wengi wa dar wana miwaya na sababu kubwa ni kuwa hawawezagi kwenda kununua kondom wanamtegemea mwanaume ndio anunue akienda kugegedwa kama mwanaume akiamua kutumia kondom sawa asipoamua pia sawa yeye twende tu
 
Death was around the corner

Kachinje bata mwekundu umeponea chupuchupu
 
Wewe nenda ukacheki hata majibu yakiwa mabaya mwambie umepima na uko freash alafu lete mustakbari ...
 
Achana nae pga kimya mskilizie atakutafta tu
 
Hiyo style Tulikuwa Tukiitumia zamani kumkimbia mwanamke mwenye mizinga ya kijinga na tabia ya kumganda mwanaume. Yaani ukiwaambia Tukapime,humuoni tena. Kwa kifupi ni kuwa hajatulia au anajua kuwa ana shoti.
 
"pole sana ndugu, huyo dada akiangalia love background yake ana nusu imani nayo''' kwake yy kwenda kupima ni sawasawa na Smartphones kwa wamasai"
Ino olakaibora, mbona wamasai Smartphones tunazo za kumwaga tu mkuu labda useme kingine
 
Back
Top Bottom