Kanikimbia baada ya kumtaka tukapime H.I.V

Kanikimbia baada ya kumtaka tukapime H.I.V

Ningehisi labda kapata alichokitaka ndo maana kakimbia
Sababu ni yeye ndie alianza kukuuliza kama umepima na ukamuhakikishia kuwa uko bieeee, mwenzio anaandaa vikao vya harusi sasa. Kapata atakacho subiri suprise!
 
Sababu ni yeye ndie alianza kukuuliza kama umepima na ukamuhakikishia kuwa uko bieeee, mwenzio anaandaa vikao vya harusi sasa. Kapata atakacho subiri suprise!
Hahaha
 
Kupima ni hiari ya mtu usimlazimishe ipo siku atapima tu yy mwenyewe mana hakuna namna.
 
Mshukuru Mwenyezi Mungu amekuepusha na kitu, wamtafuta wa nini tena huyo msichana!
 
nikipima malaria nitapewa mseto

nikipima ngwengwe au ukimwi ntapewa nini??????
 
ameogopa kma ninavyolalaga mbele mimi kikijaga kipengele hicho ninapoazisha uhusiano mpya araf demu alete habari hzo za kupima HIV ni nduki kali tu
 
Kupima malengo... siyo kila mtu anaujasiri wa kupima ili mradi tu...
 
Back
Top Bottom