JabagaM
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 539
- 357
Nenda taratibu, pengine kweli anahofu ya kupima kwa sababu ya njia alizopita sio salama. Msaidie kitu kimoja, jifanye wala huja mind sana kwa hilo badala yake wewe endelea kumpenda tu mpaka utakapo jilidhisha kuwa mmepimwa wote pamoja na kutambua hali zenu. Pia sio vema sana kuongozwa sana na mihemko kama hiyo.. Eti sijui mzuri, mkali mara nini nini. Kwa mfano ikitokea miss Tanzania kakupenda na yuko tayari kwa lolote hata kukutana bila ya kutumia kinga je utakubali kwa sababu tu ya uzuri wake.? Wengi tunaingia matatizoni kwa kuongozwa na hisia ambazo mwishowe tunajuta. Chukua muda kumjua kabla ya kuji commit kwa lolote kwanza. Nenda mdogo mdogo style.