Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

Dawa ya moto ni moto. kamwaga ugali we mwaga mboga, mwaga na maji ya kunawa, na jiko zima kabisa
 
Wana jamvi nawasalimu,

Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa.

Tukaona kwamba ni vema na yeye apate kazi ndipo tuweze kufunga ndoa, kikwazo ikawa ni shule, ni makampuni machache yanayoweza kuchukua form 6 failure.

Kuna sehemu ikapatikana nafasi ila walihitaji Diploma holder minimum qualification, akaniomba fedha aweze kutengeneza cheti cha form 6 na Diploma, jumla ilitakiwa laki nne na nusu, nikampa.

Kuna jamaa mmoja yupo Mwenge huwa anafanya kazi hizo, ni bingwa kwa kweli, vyeti vilipotoka nikaoneshwa sikuamini macho yangu, huwezi kugundua, akaingia kazini kwa vyeti hivyo, na sasa anakaribia miezi Nane, juzi nastukia ananiambia yeye ameamua kuolewa amepata mchumba, sikuamini macho yangu, nimefuatilia wiki yote hii nimegundua muoaji yupo kampuni hiyo hiyo.Nimembembeleza aseme tatizo nini hataki ananikwepa na hali zote.

Wadau nimeamua niende kumchomea ili asikie na mimi navyosikia.

Mnasemaje?

kha!!! hatari mwanawane kumbe ndio maana tukiomba kazi kwa makapuni ya ukweli wakiona tuu una vyeti vya tz wanaanza sema nyie hamuaminiki na vyeti vyenu....anyways huyo wewe mchomee tuu ile kwake. ubaya ubaya tuu
 
Kwann mnapenda kuwalea hawa mafisadi wa mapenzi???..Malipo hapahapa duniani..Acha achomewe

Sio kuwa lea ndg Yangu, kisasi ni kazi ya Mungu, Hata akimchomea haitampunguzia maumivu alonayo, aache aendelee na maisha mengine
 
Wana jamvi nawasalimu,

Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa.

Tukaona kwamba ni vema na yeye apate kazi ndipo tuweze kufunga ndoa, kikwazo ikawa ni shule, ni makampuni machache yanayoweza kuchukua form 6 failure.

Kuna sehemu ikapatikana nafasi ila walihitaji Diploma holder minimum qualification, akaniomba fedha aweze kutengeneza cheti cha form 6 na Diploma, jumla ilitakiwa laki nne na nusu, nikampa.

Kuna jamaa mmoja yupo Mwenge huwa anafanya kazi hizo, ni bingwa kwa kweli, vyeti vilipotoka nikaoneshwa sikuamini macho yangu, huwezi kugundua, akaingia kazini kwa vyeti hivyo, na sasa anakaribia miezi Nane, juzi nastukia ananiambia yeye ameamua kuolewa amepata mchumba, sikuamini macho yangu, nimefuatilia wiki yote hii nimegundua muoaji yupo kampuni hiyo hiyo.Nimembembeleza aseme tatizo nini hataki ananikwepa na hali zote.

Wadau nimeamua niende kumchomea ili asikie na mimi navyosikia.

Mnasemaje?

unachelewa nini?
 
Kamwe usimwamini Mwanamke yeyote zaidi ya Mama yako mzazi. Kuna kaka yangu alishamfanyia mambo makubwa na mazuri mwanamke wake ila baadaye Mwanamke akamsaliti pia.

Nakushauri usimharibie..wewe msamehe Mungu mwenyewe atamharibia.
 
Ipo siku ataukumbuka msaada wako.

Usilipe wema kwa ubaya. Utaumia lakini ipo siku utakuwa poa.

Achana nae tu bro.
 
Ni mawazo chakavu hayo. Mwache ipo siku atakukumbuka. Kwani itakuumiza nini ukimwacha akaja kupata tatizo mwenyw.mungu analipa hapa duniani
 
Wana jamvi nawasalimu,

Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa.

Tukaona kwamba ni vema na yeye apate kazi ndipo tuweze kufunga ndoa, kikwazo ikawa ni shule, ni makampuni machache yanayoweza kuchukua form 6 failure.

Kuna sehemu ikapatikana nafasi ila walihitaji Diploma holder minimum qualification, akaniomba fedha aweze kutengeneza cheti cha form 6 na Diploma, jumla ilitakiwa laki nne na nusu, nikampa.

Kuna jamaa mmoja yupo Mwenge huwa anafanya kazi hizo, ni bingwa kwa kweli, vyeti vilipotoka nikaoneshwa sikuamini macho yangu, huwezi kugundua, akaingia kazini kwa vyeti hivyo, na sasa anakaribia miezi Nane, juzi nastukia ananiambia yeye ameamua kuolewa amepata mchumba, sikuamini macho yangu, nimefuatilia wiki yote hii nimegundua muoaji yupo kampuni hiyo hiyo.Nimembembeleza aseme tatizo nini hataki ananikwepa na hali zote.

Wadau nimeamua niende kumchomea ili asikie na mimi navyosikia.

Mnasemaje?

Skia, fanya kama umekubali muachane then subiria kama miezi miwili au mitatu toa taarifa ofisini bila kufahamika, yaani unapiga simu unajifanya msamaria mwema then unawatonya kwamba kuna kifisadi kimefoji vyeti ofsini mwao, NOTE:hakikisha asijue kama ni wewe then mwache dawa imuingie ipasavyo.
 
Achana nae kabisa huyo... msahau kabisa, na siku ikibumbuluka, we haikuhusu, kwenye vyeti lipo jina lake, na aliyekwenda kutengenezesha ni yeye wala siyo wewe, wewe ulitoa pesa tu, na pesa zina matumizi mengi, hiyo kesi ya vyeti haikuhusu kama hautajitia kimbele mbele, kumbuka ukisanua yapo maswali utaulizwa utakosa majibu yake, na kuonekana kuwa unahusika na kughushi nyaraka za serekali,
je, umejuaje kama mtu, huyo ana vyeti feki
je, wewe ni mwajiri wake?
je, ilikuwaje ukagundua kama mtu huyu anatumia vyeti feki,
"basi kutokana na uchunguzi we ni mtuhumiwa namba 2..
bora ukae mbali... achana nae kabisa...
mwache amuharibie mwanamke wenyewe hana maana
mambo ya udukuzi hayana haja ya kutaja jina
ni barua ndefu kwa Mwajiri wake
jina sio halisi
nakala NECTA (BARAZA LA MITIHANI TAIFA)
TAKUKURU
MWAJIRI WA KITENGO
IKULU

By UBAYA=UBAYA TU
 
Ubaya ubaya tu,mchome sindano imuingie aisikilizie alikuona wa maana wkt wa shida leo hii we ni kapi.
subilia ka miezi mi nne ipite then lipua bomu nae augulie maumivu ya kukosa kazi
 
Wana jamvi nawasalimu,

Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa.

Tukaona kwamba ni vema na yeye apate kazi ndipo tuweze kufunga ndoa, kikwazo ikawa ni shule, ni makampuni machache yanayoweza kuchukua form 6 failure.

Kuna sehemu ikapatikana nafasi ila walihitaji Diploma holder minimum qualification, akaniomba fedha aweze kutengeneza cheti cha form 6 na Diploma, jumla ilitakiwa laki nne na nusu, nikampa.

Kuna jamaa mmoja yupo Mwenge huwa anafanya kazi hizo, ni bingwa kwa kweli, vyeti vilipotoka nikaoneshwa sikuamini macho yangu, huwezi kugundua, akaingia kazini kwa vyeti hivyo, na sasa anakaribia miezi Nane, juzi nastukia ananiambia yeye ameamua kuolewa amepata mchumba, sikuamini macho yangu, nimefuatilia wiki yote hii nimegundua muoaji yupo kampuni hiyo hiyo.Nimembembeleza aseme tatizo nini hataki ananikwepa na hali zote.

Wadau nimeamua niende kumchomea ili asikie na mimi navyosikia.

Mnasemaje?
Kaka hawa wanawake ndo walivyo.Mimi nakushauri yafuatayo:
(1) Kwanza zuga hujaumia kiviile ila kwa kua ameamua kuolewa, muombe akurudishie 450,000/= yako
(2)Akisharudisha tu, Kamchomee ili walau na yeye askie uchungu
(3) Kwa kua kumchomea hakutastopisha yeye kuolewa, endelea kufikiria kitu kingine cha kumuumiza mfanyie ili na yeye aumie the way unavyoumia. Baadhi ya hawa viumbe wapuuzi sana
 
Achana,nae maboya,sana hawa wakiwa na,shida wanyoonge yani wanaweza hta kutoroka kwao kwa ajili yko akipta boya mwngine anakumwaga bila huruma ------- sana
 
Ndio yeye afikie maamuzi ya kukuacha, lazima alishajipanga kwa lolote lile, huyo ni wale huwa wanatumia binadamu kama stepping stones hadi wafikie kwenye kilele cha ngazi ya shirika au kampuni. Hata huyo mwenzie kazini ni mojawapo wa hatua tu na atamtema. Hivyo achana naye, endelea na maisha yako maana hata mkirudiana, hali haitawahi rudia kama mwanzo.

Lakini aisei nimecheka kwa baadhi ya majibu humu kui
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom