Kaniharibia siku yangu leo

INSONSILE

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
1,960
Reaction score
2,945
Jamani wadau uuuuuh, leo ndo nimegundua majungu kazini yanatisha.
Watu wana wivu wa mambo ya kitoto jamani, hapa nimekwazwa na bosi pamoja na wafanyakazi wengine, siku yangu imeharibika kabisa. Nimepandwa na ghadhabu yaani mpaka sina hamu. Nashindwa hata kushika kitu chochote, nisaidieni jamani nifanyeje hapa at least nirudi kwenye mood?

Sinywi pombe wala sivuti sigara, sasa hata sijui niende wapi,
 
relax relax, so far umeingia hapa jf jitupe jukwaa moja hadi jingine ukisoma nyuzi zote na kila post hadi umalize na hasira zimeisha lol!
 
Aisee Pole Sana!
Fanya Kama MWALIMU alivyosema Hapo Juu, Maana JF ni Nooma!
 

Yaan tukupe moyo kavu kavu bila kujua kilichokusibu?pengine tutakuwa tunatetea ujinga jee...wee baki hivyox2 ndio safi..
 
Mtolee mmoja uvivu, watashika akili. Mimi wakiniboa huwa nawapa makavu ili wajue, kesho hawarudii ujinga ujinga.
Ukilia watakuzoea sana.
 
Yaani wanafanya makosa watu wengine alafu kutupiana lawama, imenikera. Mbaya unakuta boss anaattack tuu hataki maelezo. Wengine wana wivu na malengo yao ni kuwaharibia watu maisha yao. Bwana eeh, mimi sina tabia ya kujikosha kwa wakubwa, i have my life, me and only me.
 
pole japo sijui kisa nini weka mabo hadharani ili usaidiwe
 
Wivu gani wanao kuonea, je we ni Tajiri sana, Msomi sana, Mzuri sana hebu tueleze kwanza mana wivu sio kitu cha kawaida tu.

Kuna midomo mingine huwa hupenda kusema vile wakati hakuna kitu.
 

Ona sasa huyu naye sijui ameanzisha mada gani hapa? Na wewe unatuharibia siku kwa kuanzisha mada dhaifu. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako. Mnatupotezea muda. Tumechoka sasa.

 
hahahhahahahahhahahaha kimetokea nini?
kwanini usijinyonge?
mi naona ndo ingekuwa suluhisho kwako manake swala la kukwazana ni la kawaida katika maisha
 
pole sana,tabia hiyo ilikuwepo sana ofisini kwetu na kwa kuwa nilikuwa sijali basi nilikuwa nasemwa sana mbaya zaidi boss ndo alikuwa mtetaji mkuu,kuna siku nilifunguka niliwasemaje!!!!! hadi wakageukana wakaanza kujikosha tena kwangu na mm muda huo sikuwa na time nao hadi leo,yaan washanisoma na nidhamu ilishika mkondo wake hadi leo sijawah sikia hizo hbr za kijinga.
 

wewe nenda ukagegede au kugegedwa na kama wewe ni demu hakikisha kuwa unamegwa kavu na kidume akojolee ndani maana sperm ni anti-depressant...itakuondelea stress
 
Mtolee mmoja uvivu, watashika akili. Mimi wakiniboa huwa nawapa makavu ili wajue, kesho hawarudii ujinga ujinga.
Ukilia watakuzoea sana.

If you stand by the river long enough... you will see the bodies of your enemies float by...

Hakuna haja ya kurevenge au kuwatenda maadui zako wakiendelea na tabia zao watamalizana wenyewe kwa wenyewe
 
wewe nenda ukagegede au kugegedwa na kama wewe ni demu hakikisha kuwa unamegwa kavu na kidume akojolee ndani maana sperm ni anti-depressant...itakuondelea stress
yaani wewe! Na hiv wanaziweka kando kwanza ama?
 
Ona sasa huyu naye sijui ameanzisha mada gani hapa? Na wewe unatuharibia siku kwa kuanzisha mada dhaifu. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Soma michango ya wenzako. Mnatupotezea muda. Tumechoka sasa.


toka 2007 ulikuwa hivi hivi?af unatumia uwingi badala ya umoja mbona UNAWASINGIZIA UWONGO WANA JF EEEEH STUKENI!!!!kwa upande wangu na waliomshauri nini cha kufanya hatujaharibiwa siku na muda haujapotea na wala hatujashoka hata kidogo kama huna ushauri wowote wa kujenga tulia mkubwa kashfa hapa si mahala pake,naomba nioneshe mada yako hata moja iliyoimara kushida umma wote wa humu jf.umenishosha na comment zako ww!
 
Ona sasa huyu
naye sijui ameanzisha mada gani hapa? Na wewe unatuharibia siku kwa
kuanzisha mada dhaifu. Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya. Soma
michango ya wenzako. Mnatupotezea muda. Tumechoka sasa.


ths z jamii forum na sio mwanamalundi forum, watu wote hawawez post vile uvitakavyo ww otherwise uwe moderator tena wa forum yako, jf inavuma 7bu ya washirika na kama wakijitoa nayo haitakuwepo na wala ww mwenyewe ukibak humu huwez kuifanya ipendwe kama ilivyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…