Habari wana JF, jamani naomba mnisaidie katika hili nampenda sana shemeji yangu mpaka nimezaa nae na ananihudumia kwa kila kitu yan japo rafiki yangu hajui na bado tunawasiliana kama kawaida na rafiki yangu, nimwambie rafiki yangu au la, yeye bado kuolewa wala hana mtoto
Marafiki wa aina yako ndo wa kuwamwagia tindikali
Wanafiki mnauma na kupulizia
Hamfai hata kwa kulumangia
Wewe na huyo shemeji yako wote hovyo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mzinzi huwa hashauriwi...
Jambo la muhimu rudisha majeshi kwa Muumba na uombe toba ya kweli...
Ni changamoto tu niliyotaka kuona ni wangapi wanabusara na ambao wapumbavu......Gud kwa mlio shauri vema kwa wenye matusi ni jinsi nao walivyowaza asanteni saana, HAYA NDO MAISHA WAZA KWAMBA SIKU MOJA INAWEZA TOKEA
Huu mbona ni ushauri.?
wewe umeelewa nini mbona mie nimeambulia sifuri?unampenda shemeji na umezaa nae.... sasa binti unataka tufanyaje sasa kwa hili loh....!!!!! umezaa na shemeji yako na bado unaita shemeji huyo ni baba watoto wako ... muhimu mwambie rafiki yako uliomfanyia huo ushenzi ili ajue kuwa anabwana punguani na rafiki mwizi basi
Alifuta baada ya kumsema ila ukipitia utaona watu wame mkotiwewe umeelewa nini mbona mie nimeambulia sifuri?
Monoama niambie nami nijue
asante sana, ina maana alijisemea kachukua mme wa shoga ake na kuzaa nae? kweli huyu demu ni crazy to the maximum