jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
kweli kabisa lolnaona manyota nyota!!hivi kizazi hiki kuwavulia mashemeji,baba wa dogo sijui kina nani hamuoni shida kabisaaaaa!enzi za mwalimu haya mambo yalikuwa ni tabuuu hata kuyasema hadharani
hivi vizazi ni shida bora sie wahenga tuna aibu