chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
- Thread starter
- #21
muwe mnasoma uzi kwa makini kabla ya kuhukumu mimi nilivaa kondom but nilijikuta kaivua mimi nilikua nimekunywa pombe nilikua nipo maji
Kuua bila kukusudia. Yule mwenzako wa Nyororo kafungwa miaka 15 hamna tofauti naye. Hebu isaidie mahakama tukufuate hapo ulipo kabla hatuja tumia IP.mkuu soma vizur uzi nilivaa kondom but nilishituka kaivua sasa mimi nina kosa gani hapo mkuu
jinga kabisa inawezekamna na yeye kakuambukiza virusi usawa huu kuwa na magonjwa ya gono ni rahisi sana kuwa hata ukimwi anao..........Hii sijui niite ngoma droo au laa huyu binti nilikuwa natoka na rafiki yake nikiwa Dar na alikuwa anajua vizuri nilipotezana nao baada ya mimi kuja mkoani Nyanda za Juu kusini siku moja nipo na washikaji tunapata moja mbili Tatu nikamwona nilivyomuuliza unanikumbuka akasema yaa wewe si pita?
Nikamjibu yaa nikamuuliza rafiki yako yupo wapi akanijibu Dar but walikosana sasa sikutaka kukaa pale nikamwaga nasema kula kitimoto akataka kuondoka na mimi nikakataa but nikamjibu narudi sasa baada ya siku nne nikaenda baada ya kunipigia simu tukiwa pale akaomba tutoke out.
Tulipotoka tukaanza stori na bia kama kawaida akaniambia rafiki yake waligombana baada ya huyo rafiki yake kumchukulia bwana sasa anataka kulipiza kisasi tulipiga stori nyingi akaniambia jins rafiki yake alivyokua ananisifia coz kiukweli tulifanya mengi.
Nilimwonea huruma coz najijua mimi ni muathirika but tulishutukia tupo rum kilichonishangaza nilivaa kondom but aliivua nikakuta dushe lipo upande wa pili kiukweli na bia na konyagi nilizokunywa nilichukua Muda mrefu sana bila kurusha wazungu kuna saa nilisikia mkojo saa kumi na moja nilipoenda kukojoa nilisikia maumivu makali kwenye njia ya mkojo.
Nikajipa matumaini kwa kuwa nilifanya muda mrefu bila kupata bao maybe kulikucha nikaenda job sasa nikiwa job nikienda kojoa bado maumivu baadae mchana nikaona usahaa nikajua tayari gono hilo jioni nikawahi hospital kuchukua dox na spro ndiyo na siku ya 3 natumia sijarudi na sitaki kumwona tena yule msichana na wala simwambii maana kaniuzi kunipa gono nilikua na lengo la Jumapili niende Dar kwa wife but naogopa maana atajua na kiukweli ni mjamzito.
Mkuu hyo haisaiidii kma amesha mwambukizi vvu hata akipelekwa rumande haito saidia mkuu sana sana atajaza tu mahabusu bure na kula bureUnajua kisheria ni kosa la jinai kumuambukiza mwenzio VVU ilhali unafahamu hali yako? TCRA wanauweza wa kutrace I.P address yako na kujulikana wewe ni nani ili ushtakiwe. Yani unaanzisha uzi kabisa kujisifia ujinga? Ni dhahiri kuna wengi ushawaambukiza kwa makusudi.
ww ndiyo hujui kitu kabisawatu mnajua kutunga sana gono siku moja unapata. Gono unalipata kuanzia siku ya 3 mpaka ya 7 sasa wewe siku moja umelipata duuuu acha uwongo wewe mtoto kadanganye wenzako
sasa nyie mnatakaje yy kasema Dem alivua ndom tena kaichomekeka tigoni mwenyewe[emoji15]... Yaani hauogopi kukusudia kwamba umeamua kua tena kwa kukusudia aiseeee [emoji134]
mkuu Dem aliichojoa ndom kaiingiza tigoni ww unadhan tigo na ndom wap na wapi acheni kumshambulia jamaaWewe jipe moyo tu ukidhani umemwambukiza VVU na yeye kakupa gono kumbe huyo dada na yeye alikuwa navyo vyote VVU na GONO juu kwa hiyo hapo we ndo umeliwa maana umeongezewa hvyo VVU na Gonjwa la zinaa juu...Na inaonekana unahitaji Elimu sana juu ya kusihi na VVU hauna hiyo Elimu kabisa..maana ni kama vile umethamiria kuwaambukiza wengine kwa makusudi..
ni PM you e mail nikupatie kitabu cha communicable disease kabla sijatoka mtandaoniww ndiyo hujui kitu kabisa