Kaniambukiza gono, mimi nimemwambukiza VVU

Kaniambukiza gono, mimi nimemwambukiza VVU

si umesema ulivaa kondom alafu yeye akaivua alikuwa na maana gani kukuvua kondom,au ndio tuseme hajali afya yake au yawezekana naye ana ngoma ndio maana alitaka muende kavu
 
Maskini mke wa pita ana vvu na ni mjamzito.. maskini jamani juu tena mumewe ana gono duh.
 
Back
Top Bottom