Kaniambia niache Bangi

Kaniambia niache Bangi

Nmeanza kuandika nkafuta.
Wengi humu wanabonga lakn hawajawahi kuvuta kaya.
Jenja ukilivuta kwa misingi ni starehe moja murua isio na vurugu.
Mwambie manz ako asikupe masharti, lakn atafute njia ya kukufanya uache mwenyewe kwa hiari yako.
Lakini ajue alosto ni mbayaa🤣🤣🤣🤣
 
Uwe mtu wa mazoezi sasa maana ukianza kupiga pmb hukojoi hata lisaa na nusu na hamu inakua kuuuuubwaaaaaaaaa yaan unaweza wapanga hata watatu na ukawatoa jasho

We washauri wadada uongo tu,aende kwa jivuta bangi akakute linacheka cheka kila muda[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona wale wapenda cha Arusha mnapeana moyo. Teh teh.

Kiukweli ukiona mtu anakupenda na mibhangi yako jua tu saa ingine hana jinsi au na yeye ndo wale wale.
 
niliwahi kukutana na mwanamke wa aina hii na alitumia nafasi yake mpaka niliacha bangi mazima [emoji2969][emoji2969]
na ndio mke wangu now
Hongereni sanaaa, mbarikiwe mnoo.
 
ANGALIZO: Hi ni comment ya mtoto wa kiume, sasa jitusie uingie kichwa kichwa ukidhani ni pisikali ukakutane pumbu zinaning'inia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungewambiia wabebe na mizani kujua ni kilo ngapi hizo zinazobembea.

Weuweeeeeeeeeeee!!!!!!
 
Umejuaje mkuu?? Yamekukuta nini??? Kwahiyo ulivyokutana nazo ulizichezea au?? [emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa had machoziii, ukute alizinyonyaaaaaa kabisa km sio kuzitekenyaaa.
 
Wakiwa wamevuta, wakiwa hawajavuta au muda wote tu wako vizuri ilimradi wanavuta?
Nahisi wako vizuri sabau wanavuta ila sina uhakika sijawahi kukutana na mwanaume anayevuta kuna story tu nilisikia kuhusu wao
 
"Baby ili tuendelee na mahusiano acha kuvuta bange"" baada ya kuniambia hivyo nikamjibu tu kwa kifupi, ujue mpenzi nikivuta nakuona mzuri kuliko kawaida sio kama nisipovuta halafu nikiacha mchezo wetu wa kitandani sitacheza mpaka ile uombe poo vile.

Baby kwahiyo tulia, kuachika hakupo kwa mjanja [emoji1787] [emoji1787]
giphy.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom