Kaniambia niache Bangi

Kaniambia niache Bangi

Kuna vitu huwatokea:-
-mwili kupata ganzi.Hahisi chochote,
-damu imechemka.dushe lipo wima muda wote,ganzi + damu kuchemka,
-kichwa kuvurugika na hisia kwenda inversely proportional.Anaona kila kitu ni abnormal,
-mfikirie sasa atakapomkamata mwanamke itakuwaje!
Huna unachoelewa halafu maelezo meeengi
 
Bangi ilivyoharibu maisha yamtu naemjua..... saivi ana bipolar ni trip tu za mirembe
 
Kuna mmoja aliniambia ili niendelee kuwa nae niache kijiti nikamweleza ye ndio afanye option kumbe alikuwa na selaa kanzu sana. Sasa niko namdekerea na usingo mama wake. Akinikuta nimemoka nampa maspch ya flngs mpaka kilio
 
Kudadeki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom