Kaniambia "huna hela wewe"

Kaniambia "huna hela wewe"

Umekutana na muuzaji, hakuna njano hutoona. Ushauri wangu mega kisela ila tumia ndomu, mko wengi hapo.

Afu S alikuset.
Hapo kwenye nyekundu ndio kila kitu. Dogo anadhani kuna mapenzi hapo, watoto wa mjini wamekaa kibata bata tu wanataka samsungi galaksi s5.
 
hela ukimpa huyu ataishia kumlipia J kodi ya nyumba wakati makubaliano yetu.yatakuwa awe anazitumia siku suruali ikimbana tu!

Ha ha haaaaa una maneno wewee!!!!
Hivi unajua mwavuli ukitaka kuutumia huwa hautoshi tena kwa mfuko wake!!!!??????

Atazitumia mwavuli ukikunjuka
 
Me nikishapiga walau mara moja inatosha kabisa, mradi vyangu hakula bure, mwache aende zake.

On a serious note, ndugu demu wa mwezi mmoja unafikiria kuchukua jumla.... we shujaa wa ukweli
 
wakuu asanteni kwa mawazo,nimeamua kukaa pembeni wenye visu vikali wale nyama, ili akijileta mziGo napiga kama kawaida,
 
kuumiliki mkuu niwe napiga anytime
Huhitaji kufuga ng'ombe ili kupata chai ya maziwa!!!!!

We unasema wa mjini, mjini gani huko ambako hoteli zote wanafuga kuku wa mayai na ng'ombe wa maziwa!!!?????

Ebhooooooooo!!!!!!!
 
Huhitaji kufuga ng'ombe ili kupata chai ya maziwa!!!!!

We unasema wa mjini, mjini gani huko ambako hoteli zote wanafuga kuku wa mayai na ng'ombe wa maziwa!!!?????

Ebhooooooooo!!!!!!!

mkuu huu ni ujumbe mzito,ntaufanyia kazi. kweli naweza nisifuge ila nkapiga chai ya maziwa daily
 
Hebu nitupie namba yake kwanza niongee naye juu ya unavyompenda fasta!
 
Bora kakuambia mapema, ukiendelea kumfuatilia sana atakuja kukuumiza na kukufilisi ka mtaji kako kote..!!
 
Endelea nae mpaka uuze icho kiswift na urudi kukaa kwa wazazi ndo atakumwaga na utamchukia automatically.
 
Endelea nae mpaka uuze icho kiswift na urudi kukaa kwa wazazi ndo atakumwaga na utamchukia automatically.

nimeshapokea ushauri wa ma great thinker nimekaa pembeni mamie, na kuhusu kuuza mpaka my belongings 'aint no pussy good enough'
 
wewe jimegee kisela hivyo hivyo, ila kuwa makini usije ukapata kiwanja pale kinondoni makaburini maana inaonekana mpo wengi
 
mkuu huu ni ujumbe mzito,ntaufanyia kazi. kweli naweza nisifuge ila nkapiga chai ya maziwa daily

Haya, next time uje na uzi wa changamoto za kibiashara au uulizie unataka kubadili gari au ramani ya nyumba na gharama!!!!!
 
wakuu natumaini wote ni wazima, mimi ndo mara ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini, kuna binti''J"nilikutana nae kama mwezi umepita, kiukweli ni binti mrembo sana na ameumbika na tangu nilipomuona akili yangu imehamia kwake.
nakumbuka nlikutana nae maeneo ya posta nikiwa nimemfata rafiki yangu wa kike"S"ambaye ndo alikua nae, tulikaa kwa muda pale tukiwa wanne, mimi,yeye, na huyo rafiki wangu wa kike akiwa na mpenzi wake. muda wa kuondoka "S" alinisisitiza nimrudishe "J" nyumbani kwani wao walikua wanawahi sehemu. bila hiyana nilimpeleka mtoto mpaka kwa mikocheni na nlifanikiwa kupata mawasiliano kutoka kwake.

baada ya kama wiki hivi nlimuomba kama tunaweza kutoka dinner,baada ya pozi za hapa na pale hatimaye alikubali, tukaenda dinner na after that tukaenda mediterrenian beach, after a series of Jack daniels shots si nikapata ma confidence and we kind of kissed, after the incidence akawa kama disturbed na akaanza kunisisitiza nimrudishe nyumbani, after that day ndo nikawa simuelewi kabisa, msg sijibiwi,simu sipokelewi na akawa ananpigia tu usiku kunitakia usiku mwema.

hali imeendelea hivo hivo mpaka jana akanitumia ujumbe "leo wapi, i wanna do something crazy". basi mwanaume nikajikoki fasta nikamfata aliponielekeza, we spend alot of time that day talking and ofcourse drinking booze, ikafika muda nikimuuliza "whats that something crazy you wanted to do"? she keep on laughing akisema it is crazy than you think. nikaona hapa ngoja nijiongeze, tuliondoka hapo moja kwa moja nikampeleka hotel flani hivi n we had sex, mchakato ulikua mgumu maana alikua anazuga zuga sana like"mbona umenleta huku jamani, i dnt wana do it n blah blah.... baada ya game mwenzenu nimesifiwa sana ila kilichonleta hapa kwenu wakuu ni kwamba nlivokua namrudisha kwao njiani akawa ananambia unajua P apart from what happened hatuwezi kuwa wapenzi, nkiuliza kwanini she kept on smiling. tulivyofika kwao si ndo akanipa dry "HUNA HELA WEWE" afu akaingia ndani.

dah kiukwel nimekufa kwa huyu binti na alichonambia kinanitatiza sana, na ukizingatia siko vibaya sana at this age of 23 nina ki swift changu mwenyewe jasho langu, nimepanga chumba na sebule na vimradi vangu viwili hapa mjini. na outings tulizotoka nae nimevunja benki, sasa wakuu nifanyaje? au niendelee kupiga mzigo kikauzu tu?
kumradhi kwa uzi mrefu ila nimefanya hivi kupunguza maswali.

Mmepima ukimwi lakini....

Af kingne jenga kwanza kodi.ikiisha utalala kwenye swift?
 
mkuu, kama umepiga mzigo, huyo tayari keshakuwa 'kuku' wako, hakuna haja ya kumshikia manati! understand?
 
Nimepitia comment zote nimegundua tatizo lako pat,kwanza we bado kijana mdogo mla chips mayai,pili kutokana na tatizo la kwanza hukumkuna vyema bidada,kukwambia huna hela yawezekana kazoea matawi ya juu au kakwambia hivyo kukutoa relini coz hukumpiga p ya ukweli means we mchovu,jiulize why alikutafuta,ungempelekea mashine mwanzo mwisho asingekwambia hivyo angekua anakuja mwenyewe.
 
Nimepitia comment zote nimegundua tatizo lako pat,kwanza we bado kijana mdogo mla chips mayai,pili kutokana na tatizo la kwanza hukumkuna vyema bidada,kukwambia huna hela yawezekana kazoea matawi ya juu au kakwambia hivyo kukutoa relini coz hukumpiga p ya ukweli means we mchovu,jiulize why alikutafuta,ungempelekea mashine mwanzo mwisho asingekwambia hivyo angekua anakuja mwenyewe.

mkuu hizo ni hisia zako tu, mashine nimetembeza mpaka mtoto kanambia "ntakuja kuolewa na mwanamme kama wewe" nikajua kazi imeisha ndo bdae napewa makavu huna hela wewe!
u missed something in my post, mtoto katoa sifa kwenye game
 
ila cha msingi mi sihangaiki tena,akileta papuch mi napiga kama kawaida
 
Back
Top Bottom