Kaniambia "huna hela wewe"

Kaniambia "huna hela wewe"

wakuu natumaini wote ni wazima, mimi ndo mara ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini, kuna binti''J"nilikutana nae kama mwezi umepita, kiukweli ni binti mrembo sana na ameumbika na tangu nilipomuona akili yangu imehamia kwake.
nakumbuka nlikutana nae maeneo ya posta nikiwa nimemfata rafiki yangu wa kike"S"ambaye ndo alikua nae, tulikaa kwa muda pale tukiwa wanne, mimi,yeye, na huyo rafiki wangu wa kike akiwa na mpenzi wake. muda wa kuondoka "S" alinisisitiza nimrudishe "J" nyumbani kwani wao walikua wanawahi sehemu. bila hiyana nilimpeleka mtoto mpaka kwa mikocheni na nlifanikiwa kupata mawasiliano kutoka kwake.

baada ya kama wiki hivi nlimuomba kama tunaweza kutoka dinner,baada ya pozi za hapa na pale hatimaye alikubali, tukaenda dinner na after that tukaenda mediterrenian beach, after a series of Jack daniels shots si nikapata ma confidence and we kind of kissed, after the incidence akawa kama disturbed na akaanza kunisisitiza nimrudishe nyumbani, after that day ndo nikawa simuelewi kabisa, msg sijibiwi,simu sipokelewi na akawa ananpigia tu usiku kunitakia usiku mwema.

hali imeendelea hivo hivo mpaka jana akanitumia ujumbe "leo wapi, i wanna do something crazy". basi mwanaume nikajikoki fasta nikamfata aliponielekeza, we spend alot of time that day talking and ofcourse drinking booze, ikafika muda nikimuuliza "whats that something crazy you wanted to do"? she keep on laughing akisema it is crazy than you think. nikaona hapa ngoja nijiongeze, tuliondoka hapo moja kwa moja nikampeleka hotel flani hivi n we had sex, mchakato ulikua mgumu maana alikua anazuga zuga sana like"mbona umenleta huku jamani, i dnt wana do it n blah blah.... baada ya game mwenzenu nimesifiwa sana ila kilichonleta hapa kwenu wakuu ni kwamba nlivokua namrudisha kwao njiani akawa ananambia unajua P apart from what happened hatuwezi kuwa wapenzi, nkiuliza kwanini she kept on smiling. tulivyofika kwao si ndo akanipa dry "HUNA HELA WEWE" afu akaingia ndani.

dah kiukwel nimekufa kwa huyu binti na alichonambia kinanitatiza sana, na ukizingatia siko vibaya sana at this age of 23 nina ki swift changu mwenyewe jasho langu, nimepanga chumba na sebule na vimradi vangu viwili hapa mjini. na outings tulizotoka nae nimevunja benki, sasa wakuu nifanyaje? au niendelee kupiga mzigo kikauzu tu?
kumradhi kwa uzi mrefu ila nimefanya hivi kupunguza maswali.

Teh teh teh ee!! Kuna mmoja yeye alichokifanya aliagiza kuku vizuri kabisa akala punje yani punje alafu akaagiza maji akanawajuu yake aisee ni story ndefu .....

Sijui alimanisha yeye niwamatawi ama kuku hakuiva kwakweli ukiwaingia kishamba mbona utajuta!
 
Umeambiwa live??? Una bahati sana ndugu yangu

Hivi nyota yako ni ipi vile.........

Astaghfir..........
 
Au pengine mwanetu hukupewa mzigo umejibaraguza tu humu!???

Yote yanawezekana ati"!!!
 
Au pengine mwanetu hukupewa mzigo umejibaraguza tu humu!???

Yote yanawezekana ati"!!!

Wew muongo other wise perfomance yako ilikuwa mbovu alikuwa anataka ajue kama waweza akakuta syo ndo akapata hy sababu
 
Tupaaa kuleee mbona wabeibi wapo wengi tu! Huyo sio type yako achana nae atakufilisi ukijifanya chenge then uje ulie tena hapa kuomba ushauri!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
au niendelee kupiga mzigo kikauzu tu?
[/QUOTE]

hapo ndio umenena, jitoe akili tu ye si anajifanya hana akili, hao watoto wa mitaa mirefu wanajifanyaga mataahira sana wala usipoteze muda nao consetrati kwenye business zako tu ujenge maisha your too your kuumiza kichwa na michepuko
 
wakuu natumaini wote ni wazima, mimi ndo mara ya kwanza kuanzisha uzi hapa jamvini, kuna binti''J"nilikutana nae kama mwezi umepita, kiukweli ni binti mrembo sana na ameumbika na tangu nilipomuona akili yangu imehamia kwake.nakumbuka nlikutana nae maeneo ya posta nikiwa nimemfata rafiki yangu wa kike"S"ambaye ndo alikua nae, tulikaa kwa muda pale tukiwa wanne, mimi,yeye, na huyo rafiki wangu wa kike akiwa na mpenzi wake. muda wa kuondoka "S" alinisisitiza nimrudishe "J" nyumbani kwani wao walikua wanawahi sehemu. bila hiyana nilimpeleka mtoto mpaka kwa mikocheni na nlifanikiwa kupata mawasiliano kutoka kwake. baada ya kama wiki hivi nlimuomba kama tunaweza kutoka dinner,baada ya pozi za hapa na pale hatimaye alikubali, tukaenda dinner na after that tukaenda mediterrenian beach, after a series of Jack daniels shots si nikapata ma confidence and we kind of kissed, after the incidence akawa kama disturbed na akaanza kunisisitiza nimrudishe nyumbani, after that day ndo nikawa simuelewi kabisa, msg sijibiwi,simu sipokelewi na akawa ananpigia tu usiku kunitakia usiku mwema.hali imeendelea hivo hivo mpaka jana akanitumia ujumbe "leo wapi, i wanna do something crazy". basi mwanaume nikajikoki fasta nikamfata aliponielekeza, we spend alot of time that day talking and ofcourse drinking booze, ikafika muda nikimuuliza "whats that something crazy you wanted to do"? she keep on laughing akisema it is crazy than you think. nikaona hapa ngoja nijiongeze, tuliondoka hapo moja kwa moja nikampeleka hotel flani hivi n we had sex, mchakato ulikua mgumu maana alikua anazuga zuga sana like"mbona umenleta huku jamani, i dnt wana do it n blah blah.... baada ya game mwenzenu nimesifiwa sana ila kilichonleta hapa kwenu wakuu ni kwamba nlivokua namrudisha kwao njiani akawa ananambia unajua P apart from what happened hatuwezi kuwa wapenzi, nkiuliza kwanini she kept on smiling. tulivyofika kwao si ndo akanipa dry "HUNA HELA WEWE" afu akaingia ndani.dah kiukwel nimekufa kwa huyu binti na alichonambia kinanitatiza sana, na ukizingatia siko vibaya sana at this age of 23 nina ki swift changu mwenyewe jasho langu, nimepanga chumba na sebule na vimradi vangu viwili hapa mjini. na outings tulizotoka nae nimevunja benki, sasa wakuu nifanyaje? au niendelee kupiga mzigo kikauzu tu?kumradhi kwa uzi mrefu ila nimefanya hivi kupunguza maswali.
loading........!
 
Sio kila kingaacho ni dhahabu,kama uko tayari kujibebesha gunia la misumari kichwani sawa dogo !!!
 
Back
Top Bottom