Kaniambia "huna hela wewe"

Kaniambia "huna hela wewe"

Hata sijui una hitaji ushauri gani? Wee tafuta pesa umesha ambiwa huna hela.
 
Kanogewa na utamu, vinginevyo angesepa kimya kimya bila hata kuanzisha uzi hapa...Chezeya utamu weye!!!

Hiyo ndo shida ya vijana wetu, kubembeleza kumezidi
 
Back
Top Bottom