Kaniambia "huna hela wewe"

Kaniambia "huna hela wewe"

Halafu nyie vijana mnapokua mnaanzisha relationship,msipeleke starehe mbele,
unajifanya unajua outings na nini kesho kutwa ukiona pesa yako inalambwa unaanza ooh "wanawake wote wanajiuza"
ishi maisha unayoweza kuafford,chukua mwanamke wa class yako,
wewe tax unataka kubeba mzigo uzito sawa na fuso!!

I hop wamekusikia....wanaboa sana kila siku kulalamika
 
uuuuhhhh mjini msingi kiuno......
 
Kwa nini usitafuta mwanamke mtafutaji,asiye na bugdha nyingi,ukajenga maisha,uje kufurahi baadae na familia yako?

mkuu hapa si ndo utabadilisha wanawake kila kukicha,maana wapo rare, na lazima ufanye 'try and error' method.
 
Binti wa watu kakuambia ukweli kwamba humwezi kiuchumi - hilo ni la kushukuru ili usonge mbele ukajenge maisha na wa ngazi yako.

Na utakapo mwenzi wa maisha uutafute uzuri wa ndani wa mtu - sio wa maonekano ya nje.
 
Mikato ya chumba kaka, mdogo wako kanasa kiaina!!!!

zamani kulikuwa na hadisi(tamka hivo hivo ndo itanoga)ya sungura kuiba ndizi shambani kwa mtu,akawekewa mtego wa kinyago chenye gundi kote kote,kufika akaona akibonde kwanza,piga teke kanasa,piga kibao kanasa,piga teke lingine kanasa kamalizia kichwa kabisa nacho kanasa!
unaijua?
 
She needs money na bora kakwambia mapema na ukijifanya unazo atakufirisi....
We umekula mzigo sepa what else do u want?
Kama vp nisukumie mzigo huo.......npm namba yake na mm nikagonge
 
zamani kulikuwa na hadisi(tamka hivo hivo ndo itanoga)ya sungura kuiba ndizi shambani kwa mtu,akawekewa mtego wa kinyago chenye gundi kote kote,kufika akaona akibonde kwanza,piga teke kanasa,piga kibao kanasa,piga teke lingine kanasa kamalizia kichwa kabisa nacho kanasa!
unaijua?

Ha ha haaaa nneikumbuka hiyo hadisi my dada!!!!!
La tatu Bii kwa Mwalimu Suda, kitabu kimoja watu lundo ye anataja tu snowhite basi unaendelea alipoishia mwenzio, ole wako kama hufuatilii!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom