T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,126
- 30,573
Dah!!pole sana mkuu
nipe namba ya "mpenzi" wako nikuwekee mambo sawa.
mh! we nawe ushaanza
Pole kaka, mpe muda achanganue mambo then ataupata ukweli.Kama bado unampenda endelea kukaza.
Dah!!pole sana mkuu
Tafuta mwingine
Nafsi ya mpenzi bado ilikuwa ipo hewani ikitafuta sehemu salama kwa kutua...lakini ghafla kabla hata kidonda cha huba hakijapona.....akaamua kukukabidhi wewe moyo ili apunguze maumivu....lakini ghafla kabla hajakukabdihi tena anapata habari mbaya zinazokuhusu na anabaki dilemma huku akijiona ana mikosi na bahati mbaya linapokuja suala la mapenzi...unahitajika kuwa mpole na utafute mzuri mkutane muyazungumze....kwa hakuna njia nyingine..........
Ukiona hivyo ujue huyo jamaa kakuwashia taa nyekundu, sasa dogo jiweke pembeni fasta.
Wanawake wapo wengi tu, songa mbele maisha sio huyo mwanamke tu.
Penda maisha yako dogo.
mapenzi ya siku hizi bana
Pole kjana mwenzangu, mshukur mungu kama umejaribu kubembeleza amekataa just quite ujui ya mungu kama akijirud sawa
Tafuta mwingine huyo kila siku itakuwa kesi,