Huyo mpenzi wako hajiamini achana nae hata ukilimaliza hili atakuja kukusumbua mbeleni
kwa ushaur wangu ni kwamba nenda kafanyie kaz ulicho shauriwa hapo juu.
Hilo nalo gazeti??? Watoto wakidijitali tuna mambo sana
nenda polisi kamshitaki huyo aliyemtukana
Hahahahaha kitanda kina kunguni .Karibu rafiki naona leo umeamka mapema sana rafiki ni aje?
Hahahahaha kitanda kina kunguni .
Hahahahahahaha duh wazee wa picha ngoja waje lolhahahahahaha lol!!!! weka picha lol!!!!
How old are you ?
Achana naye! Kama jamaa kathubutu fanya hivyo anaweza fanya mengi! Endelea na maisha yako! Shukuru Mungu!
Hahahahaha huyo hafai kabisa lol atanitia aibu bure. Nakutakia siku njema acha tuende kulijenga taifa letu tusije tukalaumu watu uzeeni .
Hapo huo ugomvi wa kugombea demu utamgharimu mtu kitu kikubwa tu...kama uhai hiviii