Kangi Lugola unakumbuka ulivyomdhalilisha Kamishna wa Magereza aliyechelewa kikao chako?

Ndani ya kipindi kifupi alichokaa wizara ya mambo ya ndani Lugola aliwadhalilisha baadhi ya wakuu wa idara hadi wakajiuzulu.

Hivi Lugola unakumbuka ulivyo mdhalilisha yule aliekuwa kamishna wa magereza kisa tu kachelewa dakika chache kwenye kikao,,ukamfukuza kama mbwa baba wa watu akajitahidi kukuomba radhi huku akikupigia saluti lkn kukutaka kumsikiliza ukamuamuru atoke nje huku kamera za wana habari zikimulika tukio lile. Yule kamishna alipotoka pale akaona isiwe tabu mtu mzima kudhalilishwa vile akaamua kuandika barua akajiuzulu.

Kuna maeneo alipokwenda kukagua vikosi vya magereza ama Polisi aliwadhalilisha baadhi kwamba wanampigia saluti vibaya,,yani alikiwa anataka apigiwe saluti tamu inayonoga kuendana na hadhi yake ya uwaziri wa Mambo ya Ndani. Tena kwa kuwauliza kwa kebehi "ndivyo ulivyofundishwa kupiga saluti hivi'? Wakati mawaziri wote waliopita walikuwa wanapigiwa saluti na maaskari hao hao, lkn yeye akaona hawampigii saluti vzr. Leo kiko wapi Lugola ?Ameachia Kitwanga,ameachia Mwigulu na wewe pia umeachia.

Cheo ni dhamana na kunamaisha baada ya cheo,,msiwe mnajisahau mnapo pata cheo,,mana tumemsikia naniliu alivyosema mtu akiua mnyama na yeye atamuua.

Pole sana Lugola mzee wa kutembea na ilani,,,sijui utaendelea kutembea nayo au itakuwa nzito mkononi mwako. Laana za watu ni mbaya sana,,kamishna wa watu alijiuzulu akaacha ajira yake alioitumikia muda mrefu na kwa uadilifu hadi akawa kamishana lkn alilazimika kujiuzulu kupinga udhalilishaji uliomfanyia ,,,mwacheni Mungu aitwe Mungu.
Sasa hivi anazikumbuka zile suti zake. Sio mambo aliyoyatenda. Suti zile inatumika wapi?
 
Sasa hivi akitoka na gari musoma mpka afike dar kapigwa fine za kutosha,police watu wa visasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baniani mbaya ila kiatu chake ni dawa

Hakuna jambo lililokuwa linanikera na kupandisha nyongo ya hasira kama wale polisi wa tigo..

waliokuwa wanaonea waendesha bodaboda/pikpik...lakini kwa kauli ya Kangi ule uonevu na kukamatakamata kulipungua

Kwa hilo alicheza kama Ninja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I'm very excited kusikia Lugola kapigwa chini. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Utakuwa ndiye afisa anayeongelewe wewe
 
OGOPA MCHA MUNGU POPOTE.MKUU
UNAPOMZALILISHA UNAZALILISHA.MUNGU WAKE
NA MUMGU HATOKUACHA MILELE
KAMISHNA NILIMPENDA SANA USTAARABU WAKE AKAJIPUMZIKIA MAPEMAKABISA
KANA ZAMUYAKE KUONDOKA KWA AIBU KUBWA KABISA NA YAKIPUUZI KUSAINI DILI ZA MIKATABA NJE YA NCHI MMETMMETUKUMBUSHA ENZI ZA SUKARI
 
Back
Top Bottom