Kangi Lugola kasi imeshuka sana

Kangi Lugola kasi imeshuka sana

Mavipunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
7,209
Reaction score
8,048
Tokea amtusi CAG ndani ya bunge kwa kutegemea kuungwa mkono na chama chake na baadae wakamgeuka huyu jamaa amekuwa haonekani sana.

Kabla ya hapo alikuwa ndie Waziri anayeongoza kwa kuitisha press conference kila uchao alikuwa hakauki kwenye media na vikiki uchwara.

Baada ya kujulikana alikuwa akitetea ufisadi wa sare za Polisi ambao ulisemwa na Rais mwenyewe jamaa amekuwa mpole ile kasi na mikwara imepungua hafla kwani ulimi wake mwenyewe ndio umemnyoosha.
 
Baada ya kujulikana alikuwa akitetea ufisadi wa sare za Polisi ambao uliozibuliwa na Rais mwenyewe jamaa amekuwa mpole ile kasi na mikwara imepungua hafla kwani ulimi wake mwenyewe ndio umemnyoosha.
Kunyoshea vidole wengine wakati nayeye ni mchafu kunapunguza kasi.
 
Akae akijua kabisaaa mwakani kwenye sanduku hana CHAKE.
 
Polisi wamekuwa wakiwaondosha mawaziri wengi pale.. How come mnamuonyesha waziri makontena ya uniform za mwaka huu wakati CAG anaongelea duccoments za mwaka jana
 
Tokea amtusi CAG ndani ya bunge kwa kutegemea kuungwa mkono na chama chake na baadae wakamgeuka huyu jamaa amekuwa haonekani sana.

Kabla ya hapo alikuwa ndie Waziri anayeongoza kwa kuitisha press conference kila uchao alikuwa hakauki kwenye media na vikiki uchwara.

Baada ya kujulikana alikuwa akitetea ufisadi wa sare za Polisi ambao ulisemwa na Rais mwenyewe jamaa amekuwa mpole ile kasi na mikwara imepungua hafla kwani ulimi wake mwenyewe ndio umemnyoosha.

Tatizo lake ni uwezo mdogo wa kufikiri. Anaishi na kuongoza kwa "mood".
 
Huyu jamaa kashindwa kabisa kuwaagiza traffic na police hawa ndio wala rushwa wakubwa katika nchi hii
 
alitaka kuvua nguo ili kutetea matumizi mabaya ya fedha za umma
 
Mbona huku mitaani kila siku watu wanaibiwa na unga unauzwa kama sigara na hajaonekana ..Ulimi wake umemuadabisha siku hizi kawa mdebwedo badala ya kuita media yeye anawakimbia dadeki
Jaribuni kuiba au kuuza ngada ndio mtajua amepoa au bado wa moto. Nyie mnataka akimbie kimbie bila kuwa na ishu
 
Back
Top Bottom