wameanza kucheza na kanga kavu!! utamu ukawakolea wmeloesha muda c mref watazisalua!! watu wazamani walikuwa wapole,waungwana na wastaarabu sana ila now adays watu wanajfanya wamechangamka na wanaichangamsha dunia!!Dunia inachanganka kivipi princess enny?
wameanza kucheza na kanga kavu!! utamu ukawakolea wmeloesha muda c mref watazisalua!! watu wazamani walikuwa wapole,waungwana na wastaarabu sana ila now adays watu wanajfanya wamechangamka na wanaichangamsha dunia!!
Kuna mwanaume rijali asiyependa khanga moko ndembendembe?
kwanza kabisa wawapige marufuku wale mabinti wanaojazana dodoma kipindi cha bunge wakishaweza ndio tutajau kuwa wapo serious
hahahahahaha kwahiyo hawa wanaokataa humu si wanaume rijali sio
duuuu naanza tizi za kunengua atii
KangA moko watauza sana sura uchaguzi 2015
Njoo nikupe tizi la kunengua...mimi ni mwalimu mzuri wa dancing...nakufundisha kwa practical na sio theory
kweli dunia inazidi kuchangamka!!!!!!!!
haya hiyo hapo video. hayo ndio mambo ya kanga moko ambay serikali inataka kuyapiga marufuku
[video=youtube_share;WY7NqyYiKZk]http://youtu.be/WY7NqyYiKZk[/video]
khah! Naujanja wangu wote sijui hii kitu kama ipo, mie najua bongo fleva ndio waharibifu, aisehhhhhhh!!!!
missed you