Kanda ya Ziwa ni Lowassa

Makomeo yeye nikimsikia aongei mikakati aliyo bali kila saa kulalama na failure za utawala uliopita akishindwa kuonesha atakavyofanya atakavyotoka.

Ila watanzania nawaomba acheni kuendekeza ukabira utakuja kutesa wanyonge ambao ndo wengi nchi hii. Kwenye siasa ongea sera na si kabira, ukanda wala dini vikiwageuka siku moja mtaja kujuta. Nimekuwa nikifuatilia chaguzi zote zilizofuata baada ya kifo cha mwl zimejaa mizengwe ya udini, ukabira na kuzushiana na haya huwa yanaibuliwa na chama kinachosema kinauzoefu wa kuongoza. Mimi huwa najiuliza aina ya huu uzoefu
 
Kanda ya ziwa mkichagua kanda ya kaskazini, basi tajua mazuzu ni wengi. Situkani wala kukashfu, bali naeleza kulingana na kanda ya kaskazini kujinadi kuwa lazima watoe rais awamu hii.

haa haa rais wa awamu ya tano hawez toka kaskazini by rizone kikwete waziri mtarajiwa kama maghufuli akishinda.
 
Mbona jaziba sanaaaa kwa inshu za kisiasa...? kiukweli magufuli hapaswi kutoa ahadi mpya kwa wingi anapaswa kuonyesha mafanikio ya serikali iliyopita akiwa kama waziri wa serikali hiyo na kuonyesha jinsi ilani ilivyotekelezwa na wapi yeye ataanzia...

kaz yamaghufuli kwa sasa ni kuiponda serikali ya jk madarakani....
 
Wewe katika maidha yako uliahidi vingapi na kutimiza vingapi? Unajua kama serikali ni mzazi na ana watoto wengi na hivyo anaset priority ili kukamilisha mambo yake kwa weredi?

ccm hata wakipewa miaka mingine kumi hakuna jipya....
 
teh teh teh Makwaia alizembea mwaka 1961 nchi ikaenda Butiama, mwaka huu hatuwezi kurudia makosa ya wazee wetu nchi lazima ibaki nyumbani kwa sababu uwezo tunao.!!!

hatuwez mpa kura mtu kutokana na kabila lake, dini yake wala kanda yake kamwe. bali tutaangalia sera za chama chake na uwezo wake wa kusimamia ahadi hizo....
 
LOWASA kaskazini amefanya nini hadi achaguliwe? usiwafundishe watu maamzi huo ushauri kampe mkeo #Hapa kazi tu.

Acha siasa za kizezeta.hatuchagui raisi kwa ukusini,ukati,umashariki,ukaskaziniau umagharibi.tunachagua raisi wa Tanzania.nae sio mwingine ni mh.EDWARD N LOWASA.chagua wagombea wa ukawa kwa maendeleo ya taifa.
 
Ushauri wangu kwa watu wa ukanda wa ziwa kabla hamja pokea ahadi mpya naombeni mulize kuhusu meli mbili alizo aidi kikwete. Mkipewa meli hizo basi chagueni ccm
Acheni kutugawa Kwa siasa zenu za ukanda, kila mtu anayo haki ya kuchagua chama hakipendacho.
 
Hivi unawajua wasukuma unawasikia? Hakuna watu wanapenda vyao kama wao, nawahakikishia magufuli ushindi wake utatoka kanda ya ziwa, yombagi doh abasukuma gatogilwe mashikolo gakong'wabho doh
 

Can I get the access the book mentioned on ur" ID"?
 
Huku kigamboni Magufuri akija apige mbizi kama alivyotoa kauli yake kama asipopiga mbizi basi asikanyage kabisa maana tutamzomea
 
Kanda ya Ziwa Magufuli ndo habari ya mjini,hata kwenye mbina ni Magufuli tu
 
Hivi unawajua wasukuma unawasikia? Hakuna watu wanapenda vyao kama wao, nawahakikishia magufuli ushindi wake utatoka kanda ya ziwa, yombagi doh abasukuma gatogilwe mashikolo gakong'wabho doh
Balekage duhu abise magufuli nduhu guchagula limasai isambo sana.
 
mmeunda chama cha kikanda mmeona kura za kwenu haziwatoshi mnatafuta sehemu ya kuongezea kura ili mkamilishe ndoto zenu lakini hakuna la maana lolote, tuacheni na magufuli wetu, wahenga wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…