64Bits
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 961
- 565
mme wake ni mmegaji sana wa nje,
Ndo maana unatafutwa wewe sasa maana mumewe inaelekea hana time na yeye. Pengine mkeo kila siku haishi kukusifia ofisini bidada roho inamuuma tu ana wish angepata wasaa na wewe. Kama unataka chunguza lakini have an open mind. Mwanamke mwenye kujiheshimu aliyeolewa na yeye asingetoa kauli kama hiyo kwako tena katika kipindi kifupi cha huo u-facebook friendship akijua wazi inaweza kuleta madhara katika ndoa yenu. Jiulize, nia yake nini... kujengaaa au kubomoa? Akili za mbayuwayu changanya na za kwako...!