xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,290
You said it all. Matatizo mnayataftaga wenyewe! Umeoa fb watafta nini chatting na wake za watu au hata masingle ladies tena ulivokosa adabu unamsema mkeo. Hivi mawekaga akili wapi? Yake yamemshinda mpaka aingilie yake we na yeye wote wa#$%&@ wanaume na wanawake of your caliba wananichefuaga sana. Alafu mkianza kucheat mkiulizwa ooh ulinistress mpaka nikaamua kucheat mxiiii
Punguza hasira jamani,inaonekana imekukera sana.Mleta uzi ana thibitisha ule msemo kuwa dhambi moja huzaa nyingine,kosa afanye yeye la kukaribisha mchepuko halafu anamtafutia mke wake sababu kisa kaambiwa na mchepuko wake.Yani kosa la yeye kuchepuka limezaa kosa la yeye kutaka kumchunguza mke wake.
Kazi ipo na hizi ndoa aiseee