MamaParoko
JF-Expert Member
- Jan 14, 2008
- 463
- 60
Dah kwakweli! Wote wamekosa busara, kwa mwanamke kumprovoke mwanaume hasa kwenye masuala ya jinsia ni uzembe wa kufikiria, na mwanaume kutumia nguvu pia hivyo hivyo. All in all inategemea uhusiano wenyewe ukoje lakini kwa mimi binafsi sitokubali kuwa na mwanaume ambaye ni violent, na kwa mwanaume nitayemchagua hatokubali kuwa na mwanamke kiburi mwenye mdomo mchafu.