Kamwe sitakuja kutoa mahari!

Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari

Sent by Diaspora
Mabikra wasumbufu sana, fungate ya ndoa inaweza geuka ulingo wa moto, afadhari hawa kichupi mkononi mnagegedana mpaka basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo imekaa vizuri , kuwa na bikira ni matunzo mazuri ya wazazi , hivyo mahari ni shukrani kwa wazazi . Tunaishia kuoa wake za watu tena kutoa mahari !! Huu ni uuuuuuungwana ??

Sent using Jamii Forums mobile app
Bikra ni jipu asipotolewa mwanamke mapema litamsumbua tu wakat wa ndoa maana kutakuwa na usumbufu kulitumbua na kulitibia, yeye atumbuliwe tu huko mim sitaki ghasia wakati wa tendo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom