Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,767
- 17,800
Mke wa mtu au mama watoto bikra itoke wapiWatu mliopoteza bikira zenu kipindi cha rais wa awamu ya pili mnatamani kumuua huyu handsome boy
Mke wa mtu au mama watoto bikra itoke wapiWatu mliopoteza bikira zenu kipindi cha rais wa awamu ya pili mnatamani kumuua huyu handsome boy
Mke wa mtu au mama watoto bikra itoke wapi

Mimi sitafuti kulipiwa mahari lakini.Kwahiyo hapo upo kama jumba la makumbusho ya taifa![]()
Mimi sitafuti kulipiwa mahari lakini.
Wacha tusubiri tuoneBasi kwny huu uzi kila mtu atakuja kusema katolewa bikira na mumewe
Hiyo imekaa vizuri , kuwa na bikira ni matunzo mazuri ya wazazi , hivyo mahari ni shukrani kwa wazazi . Tunaishia kuoa wake za watu tena kutoa mahari !! Huu ni uuuuuuungwana ??
Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi nitatoa mahari maana hao niliowatoa bikira sijawaoa sio mbaya ni mimi nikioa waliotolewa na wenzangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah. Tokea ile siku najutaga nilichelewa wapi.Shame Shame.
As if wanawake mliowatoa bikra mliwaoa.
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora
true true naunga mkono hoja..unatoa mahali bado anakusumbua anapigwa pigwa nje tu...sitaki kusikia kitu kinaitwa mahari...kama atakubari tukae pamoja tulee mtoto/ watoto basi..hii mambo ya kwenda kutoa sijui 2.5..e.t.c kwangu hapana hela mingi hizo bora ule hata kabata kadogo dogoKwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu uliotukuka!
Cha msingi kwa kumsaidia kaa nae bila kutoa chochote kinachoitwa mahari
Sent by Diaspora
ThanksDah. Tokea ile siku najutaga nilichelewa wapi.
Yo smart af