Kamwe sitakuja kutoa mahari!

Kamwe sitakuja kutoa mahari!

true true naunga mkono hoja..unatoa mahali bado anakusumbua anapigwa pigwa nje tu...sitaki kusikia kitu kinaitwa mahari...kama atakubari tukae pamoja tulee mtoto/ watoto basi..hii mambo ya kwenda kutoa sijui 2.5..e.t.c kwangu hapana hela mingi hizo bora ule hata kabata kadogo dogo
Ni kwel ila me naamin mahali ni kuiziana kwa lugha nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi ni kusimanga wanawake wa wakati Siku hizi wanaume wanapumuliwa kisogoni, inauma sana.
 
Back
Top Bottom