DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,904
- 4,229
Unapimaje sasa hizo kmUkitaka kuoa wee angalia gari limetembea kilomiter ngapi. Sio lazima liwe jipya
. Maana mengine yanaendeshwa kwanza viwandani nakubeba mizigo mizitu humo viwandani halafu linapakwa rangi upya. Kikubwa kilomiter zisiwe nyingi kuepuka marwkebisho ya mara kwa mara baada ya kulimiliki.
Chagua kusuka au kunyoa
Sent using Jamii Forums mobile app
