Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,549
- 21,675
Tanzania itakuwa inchi ya kwanza kwa matumizi makubwa ya VPN
Abdul mandinga ya kifahari Royce Royce Ferrari na zingine na zile kulaani inadi ndio zimefamya hivi eeh sikusoma sana na sikofaulu mimi nilifeli form 4 nikataga nikareseat eeh trekta million 10 sio trekta elfu 10 ni trekta million 10Ndio hivyo' Boss... I was expecting it psychologically
Tutahamia Kenya kama siku zileKenya Talk unaikumbuka?
Inabidi tupeane namba kabla hawajafunga JFTutahamia Kenya kama siku zile
Sijui sasa tutapata wapi mada zako murua za kuelimisha umma??!! 😭😭😭Jana nilishinda vibaya baada ya habari za uvamizi wa JF.. Nilitafakari mengi! Leo ndio tumepigwa TKO kabisa!
Msisha bila JF kwa miezi mitatu😭😭😭😭😭😭View attachment 3466775