Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,224
- 166,265
- Thread starter
- #81
Ngorongoro ni samaki wa aina gani? Wanapatikana wapi? Je unaweza kushiriki nasi picha yake?Sijaona kambale, perege, ningu, ngorongoro
Ngorongoro ni samaki wa aina gani? Wanapatikana wapi? Je unaweza kushiriki nasi picha yake?Sijaona kambale, perege, ningu, ngorongoro
Ngorongoro ni aina ya samaki mithili ya kambale ila wao ni wadogo. Miili yao ina utelezi huku wakiwa na miiba yenye ncha kali, ni weusi na wana madoadoa. Wanapatikana kwenye mito inayoingia Bwawa kubwa la Nyumba ya Mungu lililoko mkoani Kilimanjaro/Manyara. Wana mafuta mengi sana na huliwa kwa uangalifu sana kutokana miiba yaoNgorongoro ni samaki wa aina gani? Wanapatikana wapi? Je unaweza kushiriki nasi picha yake?
Naomba picha, nimejaribu kutafuta mtandaoni sijapataNgorongoro ni aina ya samaki mithili ya kambale ila wao ni wadogo. Miili yao ina utelezi huku wakiwa na miiba yenye ncha kali, ni weusi na wana madoadoa. Wanapatikana kwenye mito inayoingia Bwawa kubwa la Nyumba ya Mungu lililoko mkoani Kilimanjaro/Manyara. Wana mafuta mengi sana na huliwa kwa uangalifu sana kutokana miiba yao
Naomba picha, nimejaribu kutafuta mtandaoni sijapata
picha ungeweza kupata ila niko nje ya mazingira wanakopatikana samaki haoNaomba picha, nimejaribu kutafuta mtandaoni sijapata
Nitatakumbusha wiki ijayopicha ungeweza kupata ila niko nje ya mazingira wanakopatikana samaki hao
Na Mbasa wa ziwa Nyasa.Kamongo
Kambale sharubu
Tasi
Kolekole
Kibua
Naomba picha zake