Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Kamusi ya majina ya samaki na picha zao

Ukipata picha ya kikande mkubwa itakuwa vyema sana
kikande.jpg

Huyu hapa Kikande au Triggerfish kwa lugha ya Kiyebusi
 
272274981_310535007689972_8929032021897216439_n.jpg

Huyu samaki anaitwa Ningu na sehemu nyingine huitwa Mberere. Ni samaki mwenye miiba mingi kwenye minofu yake.

Miiba yake imekaa kama herufi Y, ni mtamu sana, ila kwa wakazi wa mwambao wa ziwa Victoria, samaki hawa kwa sasa wamepotea sana, kwani ni chakula pendwa cha sangara.
 
Samaki hawa wanaitwa sulusulu, hupatikanika mabwawani na mtoni, hasa kipindi cha mvua, ni watamu sana
272400259_5078125868918321_8083912917303259044_n.jpg
IMG-20220123-WA0016.jpg
 
View attachment 2091078
Huyu samaki anaitwa Ningu na sehemu nyingine huitwa Mberere. Ni samaki mwenye miiba mingi kwenye minofu yake.

Miiba yake imekaa kama herufi Y, ni mtamu sana, ila kwa wakazi wa mwambao wa ziwa Victoria, samaki hawa kwa sasa wamepotea sana, kwani ni chakula pendwa cha sangara.
Ningu sio mberere.
 
FB_IMG_17422755503374819.jpg

Ngoja leo niwaongezee msamiati mwingine wa Kiingereza...hawa samaki nyie huwa mnawaita samaki wa Mwanza...wenyewe wanaita Nembe kwa Kizungu wanaitwa Victoria rober... inasadikika ndio samaki watamu zaidi Ziwa Victoria kuliko samaki yoyote mwingine... hawa samaki huwa hawakai kwenye kina kirefu wanakaa pembeni pembeni mwa Ziwa...ajabu wavuvi wa Sangara huwa wanawapita na kwenda kuangaika huko ndani ndani na kusahau kama hawa samaki ndio wana utamu na wako mwanzoni mwanzoni tu🤣🤣
 
Back
Top Bottom