Kamusi: ESE Dictionary 1.3 UPDATE mchango wako ni muhimu

Kamusi: ESE Dictionary 1.3 UPDATE mchango wako ni muhimu

Kuna wakati nachungulia hii project mpaka napata hamu ya kuendelea nayo na kuongeza features lakini sipati feedback wala support yoyote! 😡

Wadau mko wapi? jamani hata kutumia dk 5 kuongeza neno moja? http://nyasiro.com/kamusi/add.php
 
Nimeifuta kwa kuwa hakukuwa na response ya kueleweka.

Hata mimi sikurepond vyema kwa kuwa sina kifaa cha android. Ungekuwa vyema kama ingerudi, Mwanzo huwa ni mgumu na mara nyingi watu huwa hawasupport vitu vidogovidogo mpaka waone vimekua. Naomba uirudishe mkuu.
 
I will do that. give me some time!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom