Kamusi: ESE Dictionary 1.3 UPDATE mchango wako ni muhimu

Kamusi: ESE Dictionary 1.3 UPDATE mchango wako ni muhimu

Kuna bug nimeigundua.

Unapo search neno la kiswahili ambalo lina alama " ' " kama kwenye neno ng'ombe kamusi haileti majibu. Bila shaka kutakuwa na shida kwenye SQL SELECT STATEMENT. Ntalifuatilia suala hili.

UPDATE
Nilikuwa nafanya testing:

Na matokeo yanaonesha code hii haitafanya kazi
Code:
select * from dict where swahilisortby = 'ng'ombe'

code hapo juu zina quote 1. katika sql single quote inatumika kuonesha mipaka ya string. kwa hiyo uki search neno kama ng'ombe SQL query ita search mpaka kwenye ng na hii italeta syntax error kwa sababu kunakuwa kuna string 2 ndani ya quote 1

lakini

Code:
select * from dict where swahilisortby = "ng'ombe"
code hii itafanya kazi vizuri kwa sababu kuna double quotes na string ni moja tu.

Sasa nimechanganyikiwa kidogo kuhusu matumizi ya double quotes na single quotes kwenye sql statements

CC Stefano Mtangoo zech snipa Sabrina and all devs

Jaribu kutumia aliyosema zech !
Nami sija Try out !

Ila angalia kama italeta ng'ombe / ng ombe

Double quotes zitafanya codes zako zisiwe clean wengi wana zi avoid !

Ila hutumika kwenye case sentive ! Kama hiyo !

Au kukiwa na

White space ''Nyasiro ESE''
Special character ''Nyasiro-Ese''
Ku match SQL keywords ''nyasiroese''
Na ''NyasiroEse''
 
Last edited by a moderator:
Nyasiro just kama alivyosema zech you just add them double i.e. to escape ' you do '' and to escape " you do ""

pseudocode
Code:
get_word_def(String s)
{
    if(s.contains("'")
       s.replace("'", "''")
    else if (s.contains("\"")
       s.replace("\"", "\"\"'")
    //correctly escaped, you can now run query

}
 
Last edited by a moderator:
can you post current database and queries you use? I want to play around it on Android.
 
You can escape single quotes with two single quotes like 'ng''ombe' that should work, i have not tested it(as i am lazy sometimes'). Try it and let me know if it works.

yeah inafanya kazi. asante kwa ushauri wako...
 
Jaribu kutumia aliyosema zech !
Nami sija Try out !

Ila angalia kama italeta ng'ombe / ng ombe

Double quotes zitafanya codes zako zisiwe clean wengi wana zi avoid !

Ila hutumika kwenye case sentive ! Kama hiyo !

Au kukiwa na

White space ''Nyasiro ESE''
Special character ''Nyasiro-Ese''
Ku match SQL keywords ''nyasiroese''
Na ''NyasiroEse''

Oooh! shukrani mkuu. Naona wengi wanachukizwa na double quotes.

Nyasiro just kama alivyosema zech you just add them double i.e. to escape ' you do '' and to escape " you do ""

pseudocode
Code:
get_word_def(String s)
{
    if(s.contains("'")
       s.replace("'", "''")
    else if (s.contains("\"")
       s.replace("\"", "\"\"'")
    //correctly escaped, you can now run query

}

Asante kwa idea hii. Basi ntafix na kutumia string replace kama mlivyoshauri.
 
can you post current database and queries you use? I want to play around it on Android.

Kama source language ni english natumia

Code:
SELECT PartOfSpeech, SwahiliSortBy, EnglishSortBy, SwahiliWord, EnglishWord, SwahiliPlural, 
EnglishPlural, SwahiliExample, EnglishExample, Derived, DialectNote, SwahiliDefinition, 
EnglishDef, RelatedWords from dict WHERE EnglishSortBy = search_word COLLATE NOCASE

Kama source language ni kiswahili natumia

Code:
SELECT PartOfSpeech, SwahiliSortBy, EnglishSortBy, SwahiliWord, EnglishWord, SwahiliPlural, 
EnglishPlural, SwahiliExample, EnglishExample, Derived, DialectNote, SwahiliDefinition, 
EnglishDef, RelatedWords from dict WHERE SwahiliSortBy = search_word COLLATE NOCASE

NOTE

search_word ni string variable inayotoka kwenye selected list item au kwenye search box then tunaiweka kwenye single quotes

DB Link: https://www.dropbox.com/s/jd3mnpk1wds5aky/kms.db
 
when I get time am going to finish a display of words as Desktop.
No promises on when 🙂

Screenshot from 2014-07-01 02:25:18.png
 
Mwanzo mzuri. Hope tutapata version ya Android.

CC C6 Deejay nasmile chief-mkwawa Donn na wadau wote.
1. kuhusu database naomba itumie same same database inayotumia version ya pc

2. kuhusu size: naomba iwe compressed kama ile ya pc ili watu wengi waweze kuidownload kwenye simu zao hasa watu ambao bundle ya internet ni majanga

3. ui, iwe na kamuonekano kama ka kwenye pc ili mtumiaji wa version ya pc asiwe mgeni saaana,

japo najua ndio stage za mwaaanzo kabisa za toleo la android ila hayo ndio mapendekezo yangu
 
1. kuhusu database naomba itumie same same database inayotumia version ya pc
Possible

2. kuhusu size: naomba iwe compressed kama ile ya pc ili watu wengi waweze kuidownload kwenye simu zao hasa watu ambao bundle ya internet ni majanga
Somehow possible!

3. ui, iwe na kamuonekano kama ka kwenye pc ili mtumiaji wa version ya pc asiwe mgeni saaana,

japo najua ndio stage za mwaaanzo kabisa za toleo la android ila hayo ndio mapendekezo yangu
Impossible. mobile UI lazima kuna sehemu inakuwa tofauti na Desktop. So Easy? Possible. Completely the same? No!
 
Impossible. mobile UI lazima kuna sehemu inakuwa tofauti na Desktop. So Easy? Possible. Completely the same? No!
i mean isifanane kabisa kila kitu ila namaanisha rangi zilizotumika kwenye desktop version zitumike huko pia, pia muundo haitawezekana kabisa kufanana ila kuwe na similarity as mobile version can be achieved,
mfano avast antivirus ya pc na android zina kamfanano ivi yani mtu hashangai saana anapoiona mobile version kwa mara ya kwanza,

ila sio tatizo sana cha muhimu ni utendaji kazi kwanza uwezekane
 
Needed: icons
36px x 36px
48px x 48px
72px x 72px
96px x 96px
144px x 144px
192px x 192px
 
Last edited by a moderator:
Congrats man, it deserves to be listed... Its awesome!, Kudos! man Kudos!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom