Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa miongoni mwa makamanda wa makao makuu ya polisi walioteuliwa na IGP Mwema kwenda kuchunguza Arusha Bomu lililolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema naye yupo ndani ya timu hiyo ya kufanya uchunguzi.
Uteuzi wake umekuwa ukilalamikiwa na kupingwa chinichini ndani ya jeshi la polisi makao makuu na hasa kutokana na rekodi yake mbaya na Chadema ila hakuna anayesikiliza malalamiko hayo.
Aidha, taarifa ambazo bado nazifanyia kazi ni kuwa polisi wameomba msaada kutoka jeshini na kikosi kimoja kinaandaliwa usiku huu kutoka Monduli kuja huko Mjini kwa ajili ya kuimarisha ulinzi , nawapa taarifa tu za awali.
Ila la Uteuzi wa Kamuhanda limenishangaza sana kuhusiana na ujasiri wa IGP Mwema ,kwenye mazingira tata kama haya yaliyopo, hivi nani ataamini hiyo ripoti ya uchunguzi kama Kamuhanda ni miongoni mwa wachunguzi?