Kamuhanda ni miongoni mwa wateule wa IGP Arusha bomu

msingi na Lengo la uchunguzi ni kupata Ukweli sio idadi ya wataoamini na ambao hawataamini, kwa kufa Mwangosi basi asiende Arusha hata kama ana weledi wa kutosha. Kwa nini mnapenda kutumia Jina la mwangosi kupata umaarufu, mumpelekee Mrs Mwangozi malipo ya kutumia jina hilo bila ya Ridhaa yake, Wanyonge wanarushiwa Mabomu halafu Picha anarushiwa Slaa kuombea Misaada huko majuu!

sikiliza wewe PIMBI usikenue mdomo na kuandika huku umepanua mepaija ukaona raha kuandika uulamaya wako.
 
Back
Top Bottom