Kamuhanda ni miongoni mwa wateule wa IGP Arusha bomu

Haki sawa

JF-Expert Member
Oct 3, 2007
4,780
3,208
Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa miongoni mwa makamanda wa makao makuu ya polisi walioteuliwa na IGP Mwema kwenda kuchunguza Arusha Bomu lililolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema naye yupo ndani ya timu hiyo ya kufanya uchunguzi.

Uteuzi wake umekuwa ukilalamikiwa na kupingwa chinichini ndani ya jeshi la polisi makao makuu na hasa kutokana na rekodi yake mbaya na Chadema ila hakuna anayesikiliza malalamiko hayo.

Aidha, taarifa ambazo bado nazifanyia kazi ni kuwa polisi wameomba msaada kutoka jeshini na kikosi kimoja kinaandaliwa usiku huu kutoka Monduli kuja huko Mjini kwa ajili ya kuimarisha ulinzi , nawapa taarifa tu za awali.

Ila la Uteuzi wa Kamuhanda limenishangaza sana kuhusiana na ujasiri wa IGP Mwema ,kwenye mazingira tata kama haya yaliyopo, hivi nani ataamini hiyo ripoti ya uchunguzi kama Kamuhanda ni miongoni mwa wachunguzi?
 
Nyani kakabidhiwa shamba la mahindi!!!Atakimbia Arusha kabla ya kumaliza kazi
 
msingi na Lengo la uchunguzi ni kupata Ukweli sio idadi ya wataoamini na ambao hawataamini, kwa kufa Mwangosi basi asiende Arusha hata kama ana weledi wa kutosha. Kwa nini mnapenda kutumia Jina la mwangosi kupata umaarufu, mumpelekee Mrs Mwangozi malipo ya kutumia jina hilo bila ya Ridhaa yake, Wanyonge wanarushiwa Mabomu halafu Picha anarushiwa Slaa kuombea Misaada huko majuu!
 
Wenye kumbukumbu mnaweza kukumbuka Chagonja alisema nini mara baada ya kuuwawa Mwangosi kupitia TBC kabla ya kuumbuliwa na picha, sasavweka Chagonja na Kamuhanda what a combination ........ripoti itakuwaje hapo
 
Labda anatakiwa aeleze ni wapi walikosea hata wakatambulika kwa kuwa kama siyo mpiga picha wa Tanzania Daima Kamuhanda alishapona. Huyu ni mzoefu wa hizi shughuli. Nadhani kama nina kumbukumbu nzuri shughuli hii aliianzia Ruvuma kwa mafanikio makubwa kabla hajaenda Iringa. Ni mzoefu wa kudili na upinzani ndiyo maana ameteuliwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
msingi na Lengo la uchunguzi ni kupata Ukweli sio idadi ya wataoamini na ambao hawataamini, kwa kufa Mwangosi basi asiende Arusha hata kama ana weledi wa kutosha. Kwa nini mnapenda kutumia Jina la mwangosi kupata umaarufu, mumpelekee Mrs Mwangozi malipo ya kutumia jina hilo bila ya Ridhaa yake, Wanyonge wanarushiwa Mabomu halafu Picha anarushiwa Slaa kuombea Misaada huko majuu!
Kujibizana nawe ni matumizi mabaya ya muda .......
 
Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa miongoni mwa makamanda wa makao makuu ya polisi walioteuliwa na IGP Mwema kwenda kuchunguza Arusha Bomu lililolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema naye yupo ndani ya timu hiyo ya kufanya uchunguzi.

Uteuzi wake umekuwa ukilalamikiwa na kupingwa chinichini ndani ya jeshi la polisi makao makuu na hasa kutokana na rekodi yake mbaya na Chadema ila hakuna anayesikiliza malalamiko hayo.

Aidha, taarifa ambazo bado nazifanyia kazi ni kuwa polisi wameomba msaada kutoka jeshini na kikosi kimoja kinaandaliwa usiku huu kutoka Monduli kuja huko Mjini kwa ajili ya kuimarisha ulinzi , nawapa taarifa tu za awali.

Ila la Uteuzi wa Kamuhanda limenishangaza sana kuhusiana na ujasiri wa IGP Mwema ,kwenye mazingira tata kama haya yaliyopo, hivi nani ataamini hiyo ripoti ya uchunguzi kama Kamuhanda ni miongoni mwa wachunguzi?

Ama kwel ukstaajabu ya musa..........
 
msingi na Lengo la uchunguzi ni kupata Ukweli sio idadi ya wataoamini na ambao hawataamini, kwa kufa Mwangosi basi asiende Arusha hata kama ana weledi wa kutosha. Kwa nini mnapenda kutumia Jina la mwangosi kupata umaarufu, mumpelekee Mrs Mwangozi malipo ya kutumia jina hilo bila ya Ridhaa yake, Wanyonge wanarushiwa Mabomu halafu Picha anarushiwa Slaa kuombea Misaada huko majuu!
Subiri yakupate wewe au nduguyo,KISHA JITOKEZE MBELE ZA WATUUUUU.......!!!
 
The way things are being done by the Tanzania Police Force it is as if it has no people who are well trained in law. May be they went to do their law degrees with a concetration of finishing their studies with a view of getting promotions at their places of work and thus they did not bother to practise what they learnt. The number one accused person is the recent Arusha is the police force, how can the poor IGP form a task force to investigate on something which the investigator is the accused number one? Is it not the abbrogation of the principles of natural justice "Nemo Judex in causa Sua" That is you should not be a judge in your own cause? has Mwema forgotten this unforgettable principle to all lawyers?

Taarifa zilizothibitishwa ni kuwa miongoni mwa makamanda wa makao makuu ya polisi walioteuliwa na IGP Mwema kwenda kuchunguza Arusha Bomu lililolipuliwa kwenye mkutano wa Chadema naye yupo ndani ya timu hiyo ya kufanya uchunguzi.

Uteuzi wake umekuwa ukilalamikiwa na kupingwa chinichini ndani ya jeshi la polisi makao makuu na hasa kutokana na rekodi yake mbaya na Chadema ila hakuna anayesikiliza malalamiko hayo.

Aidha, taarifa ambazo bado nazifanyia kazi ni kuwa polisi wameomba msaada kutoka jeshini na kikosi kimoja kinaandaliwa usiku huu kutoka Monduli kuja huko Mjini kwa ajili ya kuimarisha ulinzi , nawapa taarifa tu za awali.

Ila la Uteuzi wa Kamuhanda limenishangaza sana kuhusiana na ujasiri wa IGP Mwema ,kwenye mazingira tata kama haya yaliyopo, hivi nani ataamini hiyo ripoti ya uchunguzi kama Kamuhanda ni miongoni mwa wachunguzi?
 
"Ndugu,(???) Kamanda kamuhanda hawezi kukwepa kuhusika ktk kifo cha Mwandosi, Ushahidi upo wazi...Jina la Mwandosi haliwezi kusahaulika wakatiwoote ambaomkamuhanda atakuwa hai,picha yake pale alipouawa na damu ya Mwandosi bado inatusumbua, inatutia hasira,huzuni,simanzi na jazba na wakati mwengine hata hisia za kulipa kisasi...sisi watu wake wa karibu hatuachi kumkumbuka kila tunapomuona/kumsikia kamuhanda.. kama hukuguswa na tukio lile. Shutup.
 
:shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::shock::yell::yell::disapointed:
 
Back
Top Bottom