Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

Kamugisha Kazaura is a new TTCL CEO

Wadau wengine wanadai...amekaa ki academic zaidi...si kiutendaji..sasa mimi siko huko tumpe muda kwa elimu yake na upeo wake lazima atakuwa na mapya...kusaidia kwa mustakbali wa ttcl na nchi yetu kwa ujumla!piga kazi Kamu!

I also wanted to say the same thing,huyu jamaa amekaa ki academic zaidi si ki utendaji sasa kwa kua yeye amekaa ki academic akitaka kuinua ttcl inabidi atafute chini yake watu waliokaa ki utendaji directors wote wachukue from tigo na vodacom,kaibeni wafanyakazi kule wekeni dau la maana mchukue watu wa commercial,sales and marketing team ya ukweli ndio iyanyanyua ttcl,nenda tigo angalieni nani ni gulu wa mambo ya mauzo ya intwrnet muibeni,nenda voda angalia nani ni gulu wa marketing muibeni pia na team yake kuna watu kama kina twisa magulu wa telecom hao
 
Ni karibu mwaka sasa tangu huu uzi uanzishwe.

Ripoti ya maendeleo inasemaje?
 
kweli kabisa..
 
Ni karibu mwaka sasa tangu huu uzi uanzishwe.

Ripoti ya maendeleo inasemaje?

Mheshimiwa Kamugisha ripoti wapi, Siasa ikiingia kwenye makampuni, utasikia tinajipanga, upembuzi unaendelea, airtel hawataki kuachia ttcl iwe huru na mengine mengi.Ni nini airtel wanachong'ang'ania ndani ya ttcl!!
 
Kukaa ki-academic ndiyo nini haswa hebu fafanueni maana wakati mwingine ni vigumu sana kueleweka !Hana kitambi, au hana skendo kama za Kapuya ???

I also wanted to say the same thing,huyu jamaa amekaa ki academic zaidi si ki utendaji sasa kwa kua yeye amekaa ki academic akitaka kuinua ttcl inabidi atafute chini yake watu waliokaa ki utendaji directors wote wachukue from tigo na vodacom,kaibeni wafanyakazi kule wekeni dau la maana mchukue watu wa commercial,sales and marketing team ya ukweli ndio iyanyanyua ttcl,nenda tigo angalieni nani ni gulu wa mambo ya mauzo ya intwrnet muibeni,nenda voda angalia nani ni gulu wa marketing muibeni pia na team yake kuna watu kama kina twisa magulu wa telecom hao
 
Kwa mujibu wa chanzo changu pale TTCL bodi ya wakurugenzi imemteua bwana Kamugisha Kazaura kuwaCEO wa kampuni hiyo..kabla ya hapo alikua CTO wa kampuni hiyo.............kwa wale mnaomfahamu yeye na TTCL mnauzungumziaje uteuzi huo na kama ataweza kupambana na ushindani uliopo kwa maana ya kurudisha hadhi ya shirika hili iliyopotea kiasi cha kufanya uteuzi huu kuonekana kama propaganda..........!!
hongera zake kwa kupanda cheo.
 
Hapo hakuna cha pande wala nini wazee, pia na kitabu ni muhimu sana kama siraha ya maisha.tumpongeze ndugu yetu alibebe ttcl
 
Sijui watoto wetu waliosoma shule za kata kuna siku watakuwa ma CEO?naona u CEO watausikia tu kwenye radio,tv,magazeti na Jamiiforums.Mchezo wenyewe unaanza hivi baba kigogo,anajulikana katika mashirika na taasisi zote,anampeleka mwanae ''shule zilizoenda shule'',pia ni rahisi kumpeleka ulaya kwani visa kwa kijana si tatizo baba kigogo ana connection kote ulaya ,anacheza gofu na mabalozi na pia account yake ya Uswisi inapumua Pound,mwanawe anapelelkwa mamtoni na kusoma chuo chochote kila anachokitaka,na kazi yake ni kusoma tu ,box kwake ni simulizi tu,akializa tu baba yake anampachika sehemu anayojua kwa kuangalia tu kuwa baada ya muda kijana wake atakuwa ''ndarekta'' kwa muda mfupi baada ya wazee a analogi kustaafishwa kwa kutojua ulimwengu wa kidijitali ,baba anampigia ndogo ndogo kijana wake kwa kigogo mwenzake ,na hatimaye ''mtoto wa baba anakuwa CEO'',sasa mtoto wa mkulima na shule za kata hata msingi wa lugha ya mama ,shughuli mwisho wake unabakia mpika chai na mpeleka vipeto vya ofisi.Hili tabaka la watoto wa wakubwa na malofa ndio linazidi kupanuka,watoto wa wakubwa wakishindwa shule wao huwa wabunge,manaibu waziri n.k.

Duniani kote is The business law!! HUWEZI PATA KAZI NZURI YENYE MSHABHARA MZURI BILA RECOMENDEE, REFAREE MZURI.Hata ungekuwa professor au phd holder. Baba akiwa na nafasi nzuri aka ku-recomends basi utapata tu,.
 
Kama ni mambo ya shule, Kamu tulikuwa tunakipiga wote pale Azania !!

Kumbe na wewe ni mate wao akina Mugi na Peter Ulanga??

Hao jamaa walikuwa wakali sana, si kwa shule ila hata mambo ya nje ya shule...

Nawakubali sana na waliiletea sifa sana Kibaha...

Inasikitisha sana kwama Mugi kampoteza mzee wake...
 
Duniani kote is The business law!! HUWEZI PATA KAZI NZURI YENYE MSHABHARA MZURI BILA RECOMENDEE, REFAREE MZURI.Hata ungekuwa professor au phd holder. Baba akiwa na nafasi nzuri aka ku-recomends basi utapata tu,.

Kwa namna moja uko sahili ila kama ingekuwa kwamba nafasi zote za juu wanapewa watoto wa wakubwa basi wasingetosha. Kuna wengine wanaotoka katika mazingira magumu ila kwa juhudi zao na utendaji mzuri pia wanapata nafasi za juu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom