~ Kamtumbwi alikokataa Kikwete ~

"Leo hii tunajivunia ‘vimaendeleo' vya simu za mkononi na ‘internet', wakati maisha ya watu wetu katika takwimu mbalimbali hayajanyanyuka sana. Leo watawala wetu wanataka tuimbe sifa za maendeleo wakati walioendelea ni wao na vizazi vyao."H

Hapo tena umenikumbusha juu ya simu.

Sisi Watanzania kweli Bichwa la mwenda wazimu.
Kampuni za Simu Tanzania zinatunyoa kwa kupunyua unywele mmoja mmoja kwa mikono nasi twachekelea.

Simu za Mkononi Tanzania ni kama Kukomit Suicide.
Eti kwa vile tu Simu yanoga sukari tuko radhi kuinywa na kuendlea kuganga maradhi ya tumbo na kuhara hadi kifo kiingilie kati.

kadi ya Shilingi 1000 inakuwezesha kuongea kwa muda wa Dakika si zaidi ya 3.

Tuseme unaunua kadi ya tshs 5000 kila siku maana yake utaongea dakika 15.
5000X30 =150,000.00 hizo kwa Rate ya kubadili dola ni sawa na $140.00 hivi.

Sijui ninchi gani duniani wanalipia simu fedha yote hiyo na kuongea dakika 15 tu kwa siku au dakika 350 kwa mwezi?!?!

Inawezekana mimi fala kwa sababu nimekaa sana huku majuu, lakini bado haiingii akilini kuona mtu mwenye kipato cha Tshs 300,000 kwa mwezi akiilipa kampuni ya simu ya mkononi nusu ya kipato chake chote!!!!??

Lakini kwa vile simu ya mkononi inaongeza ujiko na ni kipimo cha maendeleo na uleo ni ujuha na wendawazimu mkubwa kuingilia kati na kuwaamsha watanzania.
 
... You know, couple of years ago, niliwahi kuona watu wanasukuma ndege ya jeshi (huko mkoa) ati iwake ili waendelee na safari. Think of it people: wanasukuma ndege ya jeshi ili iwake?

Gustanza_The,

Those are the most preposterous people I've heard of in my whole entire life!

You are kidding me!

Wanasukuma....whaaat ? I'm speechless!
 
No, tunachohitaji sio another Nyerere, tunachohitaji ni dictatorship. And I mean it. Seriously. You know, couple of years ago, niliwahi kuona watu wanasukuma ndege ya jeshi (huko mkoa) ati iwake ili waendelee na safari. Think of it people: wanasukuma ndege ya jeshi ili iwake?

Seriously, tunahitaji dictator mmoja atucharaze bakora kwanza kisha ndo tupate akili.

I rest my case.

Gustanza_the,
Usifikiri ni Tanzania tu. Mie ilishawahi kunitokea na nikapata kigugumizi baada ya kusikia NINI kimetokea. Watu wakiwa kwenye lile Train Maarufu la Kifaransa liitwalo TGV (soma TE-Z'HE-VE) lilisimama ghafla njiani. Nikasikia Matumbi mmoja akicheka kuwa "ahh hata Wazungu wazembe, yaani wameweka Mafuta kidogo sasa train lao limeishiwa mafuta, limesimama..."
 
If anything, this entire saga demonstrates a few things and betrays some facts that even a die hard Kikweteite cannot ignore.

Waziri mkuu wa zamani hayati Edward Moringe Sokoine alifariki kwa ajali ya gari akitoka bungeni Dodoma kuja Dar. Kabla ya kupanda gari aliombwa kutumia ndege lakini akakataa kwa kusema kuwa alikuja na msafara wa watu wake kwa gari na angependa arudi nao vile vile, hakupenda special treatment. This is in sharp contrast with Kikwete.While the other extreme may also be disdainfully naive, it is at least chivalrous and admirably gallant.Kikwete cannot calaim this gallantry.

Pundit,
Siku hiyo nilikuwa Dodoma. Mie siamini kama SOKOINE alikataa kupanda ndege. Ilikuwaje Sokoine na kupenda kwake nchi ile, aruhusu NDEGE ije hadi DODOMA na yeye akatae na kusema arudi kwa gari? Mie siku hiyo niliiona NDEGE kwa macho yangu kabla haijatua. Ilikuwa ikija,hupita JUU ya Mazengo Secondary na baadaye inazunguka ule mlima ilipo Mirembe hospital/Isanga Prison na kwenda kutua. Wengi tu tuliiona siku hiyo na Makelele yake.
Hivi angelisafiri kwa ndenge, si wangeliingia wote aliokuja nao? Ni kweli Sokoine alikataa au mtu mwingine alipeleka UJUMBE kwa rubani kuwa Rudi Dar kwani Sokoine amesema atarudi na wenzake. Ninawasiwasi kuwa saa hizo alishasalimiana na Mungu wake. Sidhani kama alitoka Dodoma akiwa HAI.
Inaweza kuwa Smiling Boy na yeye walikuwa wanamsubiri ili WAHARAKISHE uchaguzi maana 2010 mbali na Mafisadi wanazidi UMBULIKA na jamaa hasaidii kama alivyo agiza. Wangeliweza, wangelimtafuta M-Cuba wao wampeleke Dallas ya Tanzania na Muungwana afanywe JFKennedy wa Tanzania.
 
Makosa yote ni ya Kikwete mwenyewe kwa vile ndiye aliyewaweka jamaa hao pale na ndiye anayeendela kuwaweka hapo. Siku nyingine atakuta hakuna hata hako kamtumbwi, watamwambia mzee vua nguo uoegelee.
Inachoma, lakini ukweli ndio huu!
 
Pundit,
Siku hiyo nilikuwa Dodoma. Mie siamini kama SOKOINE alikataa kupanda ndege. Ilikuwaje Sokoine na kupenda kwake nchi ile, aruhusu NDEGE ije hadi DODOMA na yeye akatae na kusema arudi kwa gari? Mie siku hiyo niliiona NDEGE kwa macho yangu kabla haijatua. Ilikuwa ikija,hupita JUU ya Mazengo Secondary na baadaye inazunguka ule mlima ilipo Mirembe hospital/Isanga Prison na kwenda kutua. Wengi tu tuliiona siku hiyo na Makelele yake.
Hivi angelisafiri kwa ndenge, si wangeliingia wote aliokuja nao? Ni kweli Sokoine alikataa au mtu mwingine alipeleka UJUMBE kwa rubani kuwa Rudi Dar kwani Sokoine amesema atarudi na wenzake. Ninawasiwasi kuwa saa hizo alishasalimiana na Mungu wake. Sidhani kama alitoka Dodoma akiwa HAI.
Inaweza kuwa Smiling Boy na yeye walikuwa wanamsubiri ili WAHARAKISHE uchaguzi maana 2010 mbali na Mafisadi wanazidi UMBULIKA na jamaa hasaidii kama alivyo agiza. Wangeliweza, wangelimtafuta M-Cuba wao wampeleke Dallas ya Tanzania na Muungwana afanywe JFKennedy wa Tanzania.

Nilikuwa nafanya kazi kwenye moja ya viwanda vya Morogoro wakati ule. Watu na mji kasoro bahari tulilia sana pale kwenye hospitali ya Mkoa mbele ya Kanisa Katoliki la Mtakatifu Patris. Gari iliyomuwa Waziri Mkluu Sokoine iliendelea kukaa pale FFU na hadi mimi naondoka Morogoro ilikuwa bado iko pale.

Kwa ndoto zangu za alinacha, ninadhani kuwa kama jamaa huyu angekua hai hadi leo huenda Tanzania tungekuwa mbali sana kimaendelea kwa vile serikali isingekuwa na wababaishaji kabisa. Nilichompendea yeye zaidi ya Nyerere ni kuwa alikuwa mwepesi kung'amua makosa ya kiutendaji na kuyarekebisa mara moja. Ndiye aliyeondoa ukiritimba wa UDA kuhodhi biashara ya usafiri Dar na kurudisha daladala, vile vile ndiye aliyegundua hasara za kufunga mpaka na Kenya na kuamua kuufungua pamoja na kutopenda sera za Kenya wakati huo.
 
Gustanza_The,

Those are the most preposterous people I've heard of in my whole entire life!

You are kidding me!

Wanasukuma....whaaat ? I'm speechless!

No, I'm not kidding mkuu!!

Unajua siku hiyo tulikuwa na mzee mmoja ('bout 60-yrs-old), alishangaa sana! Akatikisa kichwa, akang'ata kidole kisha kwa uchungu akasema, "kama ningebahatika kuiongoza Tz, basi ningeamuru JWTZ, JKT, Polisi, FFU, & Mgambo (siku ya inauguration) wakamate bakora, chapa kila mtanzania at least bakora kumi-kumi kisha baadaye nilitangazie taifa: "kuanzia leo, yeyote atakayeleta ushenzi, dawa ni bakora tu."
 
Mwanakijiji,

..mimi kilichonishangaza ni Raisi kughairi kutumia boti kwa sababu za kiusalama, lakini hapohapo akaruhusu Waziri wake asafiri na boti hiyo.
 
"Leo hii tunajivunia ‘vimaendeleo’ vya simu za mkononi na ‘internet’, wakati maisha ya watu wetu katika takwimu mbalimbali hayajanyanyuka sana. Leo watawala wetu wanataka tuimbe sifa za maendeleo wakati walioendelea ni wao na vizazi vyao."H

Hapo tena umenikumbusha juu ya simu.

Sisi Watanzania kweli Bichwa la mwenda wazimu.
Kampuni za Simu Tanzania zinatunyoa kwa kupunyua unywele mmoja mmoja kwa mikono nasi twachekelea.

Simu za Mkononi Tanzania ni kama Kukomit Suicide.
Eti kwa vile tu Simu yanoga sukari tuko radhi kuinywa na kuendlea kuganga maradhi ya tumbo na kuhara hadi kifo kiingilie kati.

kadi ya Shilingi 1000 inakuwezesha kuongea kwa muda wa Dakika si zaidi ya 3.

Tuseme unaunua kadi ya tshs 5000 kila siku maana yake utaongea dakika 15.
5000X30 =150,000.00 hizo kwa Rate ya kubadili dola ni sawa na $140.00 hivi.

Sijui ninchi gani duniani wanalipia simu fedha yote hiyo na kuongea dakika 15 tu kwa siku au dakika 350 kwa mwezi?!?!

Inawezekana mimi fala kwa sababu nimekaa sana huku majuu, lakini bado haiingii akilini kuona mtu mwenye kipato cha Tshs 300,000 kwa mwezi akiilipa kampuni ya simu ya mkononi nusu ya kipato chake chote!!!!??

Lakini kwa vile simu ya mkononi inaongeza ujiko na ni kipimo cha maendeleo na uleo ni ujuha na wendawazimu mkubwa kuingilia kati na kuwaamsha watanzania.

Hii yanikumbusha siku moja nipo kule Bongo,DW-swahili news walizungumzia nchi zinazoongoza kwa ughali wa gharama za kupiga na matumizi makubwa ya simu duniani-Tanzania ilikuwa ya mwanzomwanzo katika top 10(nimesahau ilikuwa ya ngapi),yasikitisha sana.Jamaa washastukia kuwa yalipa sana afrika,wachina na HUAWEI yao washaanza kujikita.

Nakaribia kuhisi kuwa huenda pia twaongoza kwa kuwa na simu(handsets) za gharama kubwa zenye spefications za juu ambazo hazina
kazi sana kwetu.

Utakuta hawa watengenezaji huku wanatumia zile simple ambazo bongo ni kichekesho kuwa nazo.
 
Well, Taifa lenye jamii vivu, ya kulalama tu... etc... inazaa viongozi ....

Wabunge makini: swali Bungeni...

"Kwa kuwa mheshimiwa Rais alidanganywa kwenye ufunguzi wa daraja la...., na kwa kuwa alishauriwa kupanda mtumbwi... na kwa kuwa mtumbwi ule haukua na usalama... swali je mamlaka husika zilipewa adhabu gani kwa kumshauri rais vibaya au kumpleka rais sehemu ambayo sio salama?"
 
don,t complicate things. rais ni binadamu kama sisi na above all kama sio rais muwajibikaji basi yeye ndie anae deserve kufariki kuliko sisi anaotukandamiza bila hatia. kwanini mumtetee rais asifariki wakati mimi na familia yangu tunauliwa kinyemela na huyo huyo rais na wapambe wake?. akili yangu inaniambia angepanda hako kamtumbwi halafu kakapigwa na upepo na akaanguka akameza maji kidogo, pengine kama angesave asifariki angekuja na akili mpya ya kuwajali anaowazamisha kimaisha . hivi kwanini mbu awe halali kuniuma mimi na kufyonza damu yangu na familia yangu lakini mbu huyo huyo awe haramu kuutafuna mwili wa rais na familia yake .is this fair?
 
"Leo hii tunajivunia ‘vimaendeleo’ vya simu za mkononi na ‘internet’, wakati maisha ya watu wetu katika takwimu mbalimbali hayajanyanyuka sana. Leo watawala wetu wanataka tuimbe sifa za maendeleo wakati walioendelea ni wao na vizazi vyao."H

Hapo tena umenikumbusha juu ya simu.

Sisi Watanzania kweli Bichwa la mwenda wazimu.
Kampuni za Simu Tanzania zinatunyoa kwa kupunyua unywele mmoja mmoja kwa mikono nasi twachekelea.

Simu za Mkononi Tanzania ni kama Kukomit Suicide.
Eti kwa vile tu Simu yanoga sukari tuko radhi kuinywa na kuendlea kuganga maradhi ya tumbo na kuhara hadi kifo kiingilie kati.

kadi ya Shilingi 1000 inakuwezesha kuongea kwa muda wa Dakika si zaidi ya 3.

Tuseme unaunua kadi ya tshs 5000 kila siku maana yake utaongea dakika 15.
5000X30 =150,000.00 hizo kwa Rate ya kubadili dola ni sawa na $140.00 hivi.

Sijui ninchi gani duniani wanalipia simu fedha yote hiyo na kuongea dakika 15 tu kwa siku au dakika 350 kwa mwezi?!?!

Inawezekana mimi fala kwa sababu nimekaa sana huku majuu, lakini bado haiingii akilini kuona mtu mwenye kipato cha Tshs 300,000 kwa mwezi akiilipa kampuni ya simu ya mkononi nusu ya kipato chake chote!!!!??

Lakini kwa vile simu ya mkononi inaongeza ujiko na ni kipimo cha maendeleo na uleo ni ujuha na wendawazimu mkubwa kuingilia kati na kuwaamsha watanzania.

Umeeleza vizuri niko Sudbury ,Ontario Canada kwa sasa, nilikuwa na phone card ya sent 90 na nilitaka kupiga within Sudbury nikawa na wasiwasi kuwa sitaongea sana.Senti 90 nikapata dakika 30!!!!!!!!, kwa kifupi tuseme sh.elfu moja ya Tanzania huku unaongea kwa dakika 30 believe me or not, dakika 30 TZ ni kama sh.10,000.Kwa hiyo uko sahihi bro.tunanyonywa-KWANI WAKUTUTETEA NDIO HAO WANA SHARE NA HAYO MAKAMPUNI!!!
pili ni tabia ya serikali kuona no other way of getting income except kwa wale watu kama wa simu. Japo natabia yetu ya kujionyesha ama kweli inatuua
 
Sh1.6bn fraud unearthed at top mobile phone firm

Tanzania's Olympic team members follow their national flag-bearer Fabian Naasi during the opening ceremony in Beijing yesterday.
By The Citizen Reporter

Police are holding several suspects, including some Vodacom employees, over a major racket in which the mobile phone company is believed to have lost Sh1.6 billion, The Citizen can reveal today.

The suspects are being questioned in connection with the theft of the colossal amount of money in airtime scratch cards, cellphones and post-paid vouchers from Vodacom Tanzania Limited.

Sources said the employees are believed to have facilitated the swindling by their accomplices in what is being seen as possibly the biggest theft by servant case in the country in recent times.

"Investigators have found millions of shillings in the bank accounts of some of the employees now in police custody. One of them had Sh300 million," the sources said.

The employees were arrested after investigations revealed huge sums of money in their bank accounts, which drew suspicion for the unusually large amounts never before transacted or held by them.
Contacted for comment by The Citizen on Thursday, Dar es Salaam regional police commander Suleiman Kova confirmed the arrests.

Mr Kova said his officers were holding three suspects over the theft allegations. He, however, would not give their identities or say if they were among the Vodacom employees suspected of involvement in the racket.

Reached for comment early in the week, Vodacom spokesperson Mwanvita Makamba conceded that there had been such a problem at the company, but she would not give any details.

She would also not confirm the amount of money lost, though our sources insisted that the figure so far computed stands at about Sh1.6 billion.

"It is an internal matter. We have agreed with the police not to release any information until the investigation is completed," Ms Makamba said.

She said: "If I disclose this to the media, other suspects will be alerted and might escape or decline to cooperate with us."
But speaking to The Citizen, Mr Kova: ?We have, so far, arrested three suspects following a complaint by Vodacom. They will be taken to court any time soon.?

According to the police boss, the three are alleged to have stolen scratch cards worth Sh300 million. Mr Kova declined to comment further, saying that could jeopardise the ongoing investigations.
However, sources in Vodacom told The Citizen that more people were being sought and could be arrested before those already in custody are taken to court.

The source also would not name the employees affected, but volunteered that they were from several departments.
The investigation had been going on in secrecy for quite some time before the sources alerted The Citizen about the thefts.

Top company officials wondered how our reporter got to know about the thefts and arrests, saying the police had been very secretive about the information right from the start.

"It is true this has happened here at Vodacom, though it is still being treated as a highly confidential matter. But some of our colleagues have been arrested," our source said.

But Ms Makamba said the matter was internal and had nothing to do with customers. She said the company would only release the full information after the investigation if completed.

But sources told The Citizen that the suspects had supplied airtime vouchers to non-existent collection points and later collected and cashed them for their own benefit.

Consignments of imported mobile handsets were also diverted before reaching retail points, according to the sources.

The huge theft reportedly alarmed management, which believes the syndicate could be bigger and may have spread further.

The racket is a pointer to the rampant problem of theft by servant, in which many major companies with fast moving products have lost billions of shillings. Several financial institutions have been most hit, with numerous cases involving billions of shillings pending in court

HII TAARIFA HAIJANISHTUA SANA NIMEFANYA KAZI KATIKA KAMPUNI HII, HIZO FEDHA NI NDOGO KULIKO WALIVYOSEMA!!!! NIMEFANYA KAZI KAMA MHANDISI KATI YA 2005 NA 2007. UFISADI NI MKUBWA NDANI YA KAMPUNI HII.KIASI AMBACHO UKIACHA KAZI UNAONEKANA UMESHACHUMA VYA KUTOSHA!!!!!!!.Simply because they make money!!!!Waberoya
 
Kumbe Mkuu wa Mkoa alipewa taarifa kuwa daraja ni bovu lakini bado akamwacha rais aende mkapa huko! Inaelekea mkandarasi alijua tatizo hilo mapema lakini kwa sababu anazozijua yeye aliamua kutomjulisha Mkuu wa Mkoa mpaka saa 4 usiku wa kuamkia siku ya ziara ya rais! Lakini na kwa maamuzi yake ambayo mantiki yake ni ngumu kueleweka, Mkuu wa Mkoa aliruhusu ziara ya rais iendelee licha ya kufahamishwa ubovu wa daraja hilo kwa kiwango ambacho haikuwa salama kwa mtu yeyote kuvuka hata kwa miguu.
Ajabu zaidi ni kwua tangu wakati huo, licha ya malalamiko na miito yote ya kutaka ufafanuzi, Mkuu wa Mkoa hakufanya hivyo hadi jana alipopigiwa simu na This Day ndio akaeleza haya!
 
Back
Top Bottom