kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,508
- 4,362
Kwa maelezo yake hiyo allowance ya laki mbili ndio mshahara wa mwezi mkuu.Mbona kama kinacholipwa hapo ni posho tu na sio mshahara?
Mwambie akupe figure ya salary na si allowance..
Hakuna malipo mengine mkuu. Target kwa mwezi ni kuanzia 10m.allowance iyo jumlisha na asilimia moja ya mauzo yote sasa kadiria may be kuna mshahara mwingine iyo ni job description tu as announced ila mshahara upo kweny mkataba maalum ungemuuliza na pia ujue jumla ya mauzo ni ngapi kwa stani uliyokuta upate asalimia moja ya mauzo ujue sh ngapi kwa kukadiria
jumlisha asilimia moja ya mauzo yote ebu soma hapoKwa maelezo yake hiyo allowance ya laki mbili ndio mshahara wa mwezi mkuu.
kama ni 10m ukidisha n asalimia moja unapata laki jumlisha na iyo ni laki 3Hakuna malipo mengine mkuu..target kwa mwezi ni kuanzia 10m.
Wachina na wahindi wapuuzi tuKwa maelezo yake hiyo allowance ya laki mbili ndio mshahara wa mwezi mkuu.
Kazi za sales ili upate commission ni lazima ufikishe asilimia flani ya target uliyowekewa so what if biashara ikawa mbaya mwezi husika ukamiss target,means utaishi kwa laki 2 mkuu?jumlisha asilimia moja ya mauzo yote ebu soma hapo
Laki 3,vipi makato?kama ni 10m ukidisha n asalimia moja unapata laki jumlisha na iyo ni laki 3
Poa, ntakuinbox mkuuMambo vp kiongozi, Mimi ni procurement officer wa kampuni moja hapa mjini, huwa tunanunua vitu vya aina hyo in bulk, mfano tunaweza mumua mzigo mpaka wa milioni 100 kwa wakti mmoja. kwa maana huwa tunachukua tenda ya kazi mbalimbali
Ninachoomba toka kwako nisaidie hiko kiwanda kinaitwaje, na kipo wapi na ikiwezekana mawasiliano yao, nianze kufanya nao kazi kama bei zao zitakwa vzr
ahsante
Dadeq utaenda home na 50k ya karanga hao mbegu fupi na wahindi washenzi sana nimekumbuka movie ya juzi inaitwa 7 prisoners ni ya mwaka 2021 mpya watu wanapigishwa kazi hmna malipo wala nn ni kula na kulalaLaki 3,vipi makato?
Umefikiria hilo?
Kwa maelezo yake hiyo allowance ya laki mbili ndio mshahara wa mwezi mkuu.