😃Au 2.5m 😄
Ova
You nailed it!Huwezi miliki Flagship kwa kukopa. Ni sawa na kutaka kumiliki Range Rover kwa kukopa.
Not your league.
Utumwa aisee,sijawahi kuwa elewa wanaochukuwa simu za mkopo.Pepo.
Na wakikopesha bidhaa hizo malipo yatakuwa 'kausha damu'.
Hivo vitu vipo Sana mataifa yaliyoendeleaUtumwa aisee,sijawahi kuwa elewa wanaochukuwa simu za mkopo.
watu wanakopeshwa hadi nyumba sembuse rangeZinakopesheka vizuri tu
true nje mikopo ya simu,magari na nyumba ni kawaida sana wabongo wanaona ni vitu vya ajabu wakati ni sawa tu na mikopo ya fedha maana riba ipo koteHivo vitu vipo Sana mataifa yaliyoendelea
ndio na mie nashangaaa jamaa hajui huyowatu wanakopeshwa hadi nyumba sembuse range
waafrica bado tupo gizani anashangaa mkopo wa bidhaa na huduma si sawa tu na mkopo wa pesandio na mie nashangaaa jamaa hajui huyo
Mkuu bado kimyaJiandae tu Mkuu..Nilikuwa Ofisi moja ya Yas,siku ya Ijumaa iliyopita,nikawa naongea na mfanyakazi mmoja kuhusu hilo..akanihakikishia kwa wao YAS tayari lillishafanyiwa kazi..Mzigo uko njiani..mwishoni mwa July hii au August mwanzoni utakuwa ulishafika.
Simu ya 250,000 ukilipia kwa mkopo hapo tarajia kulipia 600,000 huko sio laki 3.Hata huku denmark ni kawaida tu
Ila kwenye sijui mnaita riba huwezi compare na wanavyoweka tz
Sim ya 250,000 mfano mwisho wa siku unajikuta mtu amenunua 350,000
Ova
Nashangaa kwanini mtu anapoteza line halafu anapewa namba mpya,hivi kwanini isiwe kwamba kila mtu awe na namba zake specific kwenye kila mtandao yaani akipoteza akiweka NIDA tu inasoma anarejeshewa namba yake ile ile hakuna kutengeneza namba mpya mteja wa zamani.Mbona wazungu wanamiliki hadi ma bungalow kwa mortgage, Simu, magari na kila kitu wanapata kwa credit card tu....Tatizo Bongo hakuna mifumo mizuri ya ulipaji...mtu akikopeshwa anaenda kuvunja line anasajili nyingine na hakuna kitu anafanywa...may be wawakopeshe wafanyakazi wa serikalini ili walipwe pesa zao kwenye mishahara
Issue sio kumteka,issue ni unaweza kwenda kumtombea mkewe wakati yeye akiwa safari.Wabongo tunaogopana sijui kwa nini , mfano hilo jamaa Nyangwisi loose Nut hataki kunipa address anapoishi nimtembelee tusalimiane sasa sijui anahisi nitamteka au vipi ?
Ipo hadi sasa ila kwa corporate officials sana ndio utaona. Nenda katika page yao utaona simu zimewekwa ila wanaprogram ya kuziuza kwa mkopo kwa wateja wanaochukua kwa mkopo.vodacom walikua wanafanya kuanzia ilipotoka s3 ,sijui walikwama wapi ila ilikua kwa aina fulani ya wateja
Hii biashara najipanga kuifanya inalipa sana ukiweza kutengeneza ecosystem yake ubilionaire ni kugusa tu.Simu ya 250,000 ukilipia kwa mkopo hapo tarajia kulipia 600,000 huko sio laki 3.
Kuna dada nitakupa namba yake yupo kwenye hizi kampuni za hiyo mifumo.Hii biashara najipanga kuifanya inalipa sana ukiweza kutengeneza ecosystem yake ubilionaire ni kugusa tu.
Japo ina fraud sana inabidi ujipange na uwe na team nzuri ya ma data analyst.
Nitakushukuru sanaKuna dada nitakupa namba yake yupo kwenye hizi kampuni za hiyo mifumo.
Uko sahihi mkuu, bongo, uwezekano wa watu kudefault mikopo ni mkubwa. Wengi hawajui, wala hawajali sana kuhusu credit score, na mifumo haija-link vizuri kiasi kwamba watu wanaona kama ku-default hakuna consequences kubwa, ukilinganisha na nchi zilizoendelea.Umiliki wa vitu vizuri mfano brand new cars,nyumba maeneo mazuri etc ni mgumu nchi kama Tz kwasababu ya cash economy. Hatuna finance system kama wenzetu mfano SA hapo.
Kama una mshahara 2-3m ni rahisi kumiliki gari jipya kwa kulipa 500k-1m kwa mwezi kiliko kuchanga hadi upate 120-200m ununue cash.