Huo ndio utaratibu,Nashangaa kwanini mtu anapoteza line halafu anapewa namba mpya,hivi kwanini isiwe kwamba kila mtu awe na namba zake specific kwenye kila mtandao yaani akipoteza akiweka NIDA tu inasoma anarejeshewa namba yake ile ile hakuna kutengeneza namba mpya mteja wa zamani.
Namba mpya ni kwaajiri ya wateja wapya tu.
ukipoteza laini, jaza ile fomu ya kuonesha umepoteza laini huku ukiweka namba yako ya simu. hii huduma inapatikana vituo vya polisi au online
Baada ya hapo neda kwenye mtoa huduma wako, kama ni yas , voda au Aitel; utarudishiwa namba yako ILEILE