mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,438
- 138,225
Simu inapelekwa kwa fundi dulla mafekeche pale mwenge. Anafanya mautundu yake simu inapiga kazi fresh tu. Ikishindikana kabisa simu inafunguliwa zinauzwa spare parts zake. Mjini hapa mzee mwenzangu.Simu ni electronics usipo lipa inafungwa tu
Hata huku denmark ni kawaida tuUS na UK kote uko bidhaa nyingi mpya unanua kwa contract na Unakuwa unalipaa on monthly basis
Shida ni hapo Kwenye riba mkuuHata huku denmark ni kawaida tu
Ila kwenye sijui mnaita riba huwezi compare na wanavyoweka tz
Sim ya 250,000 mfano mwisho wa siku unajikuta mtu amenunua 350,000
Ova
Waweke utaratibu mgumu wa screening kabla MTU hajakopeswa hip flagship brandSimu inapelekwa kwa fundi dulla mafekeche pale mwenge. Anafanya mautundu yake simu inapiga kazi fresh tu. Ikishindikana kabisa simu inafunguliwa zinauzwa spare parts zake. Mjini hapa mzee mwenzangu.
Mbona wazungu wanamiliki hadi ma bungalow kwa mortgage, Simu, magari na kila kitu wanapata kwa credit card tu....Tatizo Bongo hakuna mifumo mizuri ya ulipaji...mtu akikopeshwa anaenda kuvunja line anasajili nyingine na hakuna kitu anafanywa...may be wawakopeshe wafanyakazi wa serikalini ili walipwe pesa zao kwenye mishaharaHuwezi miliki Flagship kwa kukopa. Ni sawa na kutaka kumiliki Range Rover kwa kukopa.
Not your league.
Acha ushamba,hapo ingia mtandaoni kwenye website ya Samsung au ya iphone utaona wanakupa option ya kununua kwa mkopo au Cash.Huwezi miliki Flagship kwa kukopa. Ni sawa na kutaka kumiliki Range Rover kwa kukopa.
Not your league.
Kukopesha huwezi wakopesha hawa jobless.ukikopesha jobless anakuwa tayari ana plan kwenda kuipeleka kwa fundi itolewe hizo locks au aiuze kwa bei chee ikafunguliwe na kuuzwa spare parts.
Ukichanganya hakuna mfumo rasmi wa kuwakamata wahalifu ndio inakuwa balaa kabisa.
Ila nchi inafeli sana...mfano NHC ingekuja na utaratibu wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu na kuwauzia wafanyakazi wa serikalini ambao watakuwa wanalipa kidogokidogo kupitia mishahara yao ingekuwa poa sana.
Nadhani kampuni zinazokopesha kwenye mataifa haya ya matakoni mwa dunia sehemu salama zenye uhakika wa kupata pesa zao ni kupitia wafanyakazi wa serikalini tu. Ila private sectors na jobless ni ngumu kukopesheka
Yes. Kwa hii shule uliyonipa nakili nilikuwa mshamba-sikuwahi jua samsung wenyewe wanauza simu kwa mkopo. Asante.Acha ushamba,hapo ingia mtandaoni kwenye website ya Samsung au ya iphone utaona wanaupa option ya kununua kwa mkopo au Cash.
Swala sio flagship swala ni watanzania bado ni washamba sana eneo la biashara. Tunataka kuona mtu kafanya ndio na sisi tuunge tela ila sio kuanzisha mwendo.
Makampuni yanaweza sana kufanya hivyo ila ni uoga wa kufanya biashara na kuhofia hasara. Wakati kuna wafanyabiashara wanawauzia watu hizo iphone kwa mkopo ambao mwishoni ni hela kubwa sana inalipwa na ni used. Wao wangeweza kukopesha simu mpya.
Hapo sawa.Yes. Kwa hii shule uliyonipa nakili nilikuwa mshamba-sikuwahi jua samsung wenyewe wanauza simu kwa mkopo. Asante.
Lakini, nimezungumzia kwa context ya Tanzania.View attachment 3625739
na pia unaweza ukawa unakatwa kwa mshahara as well hii nikweli kabsaUS na UK kote uko bidhaa nyingi mpya unanua kwa contract na Unakuwa unalipaa on monthly basis
Huko Denmark ushakutana na ile loose Nut adriz de mbusii ?Hata huku denmark ni kawaida tu
Ila kwenye sijui mnaita riba huwezi compare na wanavyoweka tz
Sim ya 250,000 mfano mwisho wa siku unajikuta mtu amenunua 350,000
Ova
Wabongo tunaogopana sijui kwa nini , mfano hilo jamaa Nyangwisi loose Nut hataki kunipa address anapoishi nimtembelee tusalimiane sasa sijui anahisi nitamteka au vipi ?Huko Denmark ushakutana na ile loose Nut adriz de mbusii ?
Range unakopa. Tena yenyewe ndo inakuwa collateral. Wasiliana na commercial banks au Mfi mkuu.Huwezi miliki Flagship kwa kukopa. Ni sawa na kutaka kumiliki Range Rover kwa kukopa.
Not your league.
Kama ni kweli watawaliza sana watanzania hasa hizi iPhone below 13 hizi zimeshakuwa za ovyo tuJiandae tu Mkuu..Nilikuwa Ofisi moja ya Yas,siku ya Ijumaa iliyopita,nikawa naongea na mfanyakazi mmoja kuhusu hilo..akanihakikishia kwa wao YAS tayari lillishafanyiwa kazi..Mzigo uko njiani..mwishoni mwa July hii au August mwanzoni utakuwa ulishafika.
Uchawi hauvuki bahari na Mimi siamini katika uchawi , kukudhuru kivipi Nyangwisi Ulaya sio mburahati mimi nina Umafia gani wa kumdhuru mtu katika ardhi ya ugenini ?Uje uniroge ama unidhuru?