Kampuni za simu zimeshindwa Kukopesha Flagship Phones?

Kampuni za simu zimeshindwa Kukopesha Flagship Phones?

Huwezi miliki Flagship kwa kukopa. Ni sawa na kutaka kumiliki Range Rover kwa kukopa.

Not your league.

Umetoa comment yenye mashiko, makampuni hupeleka huduma na bidhaa kwa kuangalia uwezo wa customers

Kuna bidhaa za kuuza nchi za uchumi mkubwa wenye kipato cha juu kwa raia kama Africa ya Kusini na nchi za Afrika ya kaskazini lakini siyo kwa nchi za Afrika ya Mashariki na Maziwa Makuu au Afrika Magharibi kuliko na kipato kidogo sana kwa raia wenye njaa kali
 
Wakuu ivi izi kampuni kama Yas, Vodacom au Airtel zimeshindwa kabisa kuweka utaratibu wa Kukopesha izi flagship smartphone kama Pixel 10, Iphone 17 au Samsung S26 kwa Mkopo?

Badala yake wanakopesha low end phone tu kama A series.

Kwanini wasiweke izo flagship ata kwa client kulipia upfront fulani?

Hawa brokers wanakopesha simu kwa kweli wanapiga sana watu kwa riba zao kubwa na sijui hata kama wako regulated na authorities au wanajiamulia tu
Mtu mwenye uwezo wa kununua S23 akakope? Simu ya laki 3 kwa mkopo unanunua kwa laki 5. Sasa simu ya milioni 2 si utanunua mil 3.5
 
Wakuu ivi izi kampuni kama Yas, Vodacom au Airtel zimeshindwa kabisa kuweka utaratibu wa Kukopesha izi flagship smartphone kama Pixel 10, Iphone 17 au Samsung S26 kwa Mkopo?

Badala yake wanakopesha low end phone tu kama A series.

Kwanini wasiweke izo flagship ata kwa client kulipia upfront fulani?

Hawa brokers wanakopesha simu kwa kweli wanapiga sana watu kwa riba zao kubwa na sijui hata kama wako regulated na authorities au wanajiamulia tu
Kama bado upo level za kukopa hizo simu ni bora ubakie tu kwenye feature phone tu.
 
Songesha hawalipi.

Nivushe plus hawalipi.

Nipige Tafu hawalipi.

Kodi za nyumba wanalipa kwa kupigiwa makelele.

Kumkopesha mwafrika ni kutafuta ugomvi, stress na presha.

Mtu ana Line kibao za simu kukwepa kulipa au kukwapuliwa juu kwa juu muamala ukiingia kutokana na kushindwa kulipa madeni ya KopaFasta n.k
 
Back
Top Bottom