Kampuni za Blandina Nyoni zinavyofanya ufisadi serikalini

Mwanzoni mwa mwaka jana wizara ilikuwa na kampeni ya kuhamasisha watu nchi nzima dhidi ya ugonjwa wa ukoma kupitia mabango ya barabarani.
Blandina akatoa zabuni hiyo kwa kampuni ya Jambo Concepts ya Juma Pinto ambaye ni mtu wake wa karibu. Cha ajabu ni kwamba hiyo haina bango lolote la barabarani na yeye anajua hivyo. Ilichofanya kampuni hiyo ni kwenda kutumia mabango ya kampuni zinazomiliki.
Huyo Tutafika anayemtetea kwamba eti huwa anafuata taratibu za manunuzi ya umma ana taarifa hii?
Hii ishajibiwa hapo juu na Chademaistheway
 
. Kuwa makini kidogo.
Nipo makini sana hata wewe unajua. Kwangu mimi Adam Malima, Abass kandoro na Hawa mavurugu wote ni mafisadi kama alivyo Blandina.
Gari likipinduka na waliomo ndani nao wanakuwa wamepinduka!!
 
Huwezi kutuamnisha kwa kutaja majina tu, hilo sahau.

Tumeona madudu ya blandina yanaanikwa, tumeona madudu ya yule jamaa yenu wa TBS yameanikwa, hayo ndio tunataka, sio majina tu. Kuwa makini kidogo.
Mimi na Ikelege ujamaa wetu uko kwenye nini? Mbona hueleweki. Ina maana wewe unamnanga Blandina kwa sababu si "jamaa" yako?
 
Autopilot anataja hayo madudu yanayofanyika ingawa si kwa undani lakini at least anaweka majina ya maduka na kazi walizopewa. Wewe unaweka majina ya watu tu, huoni kuwa hiyo ni ufinyu wa akili na unaonekana hukijui ukisemacho?

Weka jina na kosa alilofanya tuchambuwe kama kweli au si kweli. Usitujaze ujinga.

Mimi nikisema kama Mbowe, kama Slaa kama Zitto, Jee, hapo nimetenda haki au naunganisha tu kuwapakazia , inabidi niseme, kama Mbowe amefanya hiki na haki na hiki. Hata wanaomtetea badala ya kuja na hoja watakuja na matusi kwani wanakuwa hawana cha kukitetea. Kuwa makini kidogo.

I support u 100%! maana vinginevyo asilalamike tukimtafsiri vingine.
 
Yes huyu mama anaweza kuwa na ka-UFISADI lakini wekeni record straight

Sasa ebu tufafanule hiyo ASYCUDA ilianza lini mpaka iwe connected na huyu mama



Sijui lengo lako ni nini . Lakini hakuna connection ya huyu mama moja kwa moja na luhanjo sababu alishaanza kukamata vyeo hata abla luhanjo hajawa CS. alishakuwa na vyeo kibao kabla hata ya Luhanjo. uwa CS. so tuwekeni data zilikwenda shule sio kuunga unga mambo bila kuchambua .

Sasa kwa style hii JK akichagua mtu anaitwa Rashid tutasema kachaguliwa sabbau ni wa dini fulani hata kama mtu huyo anafaa.

So chambua perfomnce yake a ufisadi wake acha porojo
Very simple
Huyu mama alipiga kampeni weee ili serikali itumie ile software ya EPICOR ambayo kazi yake kubwa ni manufacturing and distribution industries.

Lakini CAG Ludovick Utouh aliweza ku uncover gross misappropriations in government accounting.


In short mama Nyoni na kampuni moja hivi hapa mjini inaitwa SOFT TECH ndio walitajirika kwa hii dili la software KANJANJA - 2006-07

Mama Nyoni na softtech waliweza kuingiza DOLA MILIONI 10 kwa ajili ya training peke yake!

Lakini pia usisahau kuwa akaona kutufanyia ufisadi Tanzania hautoshi akaamua kuwa TRANSNATIONAL na kuipeleka kwa serikali za Malawi, Lesotho na Gambia huku akitumia LETTERHEADS za seirikali ya Tanzania

Kama huamini uliza civil servant yoyote yule ambaye idara yake walifanya installation ya hii software atakuambia kila kukicha wnapata hastles na hii software, upgrades na bila kusahau kuwa training zake ni very expensive, customer service very poor, and if you get it, very expensive.

Ohhh and dont get me started anavyowatimua makatibu muhstasi wake wakiwa wameweka nyewe style asiyoipenda....!
 
Kuna watoto wa Wachungaji na Masheikh ambao ni majambazi, wala unga, wizi na uhuni wa kila aina. Jee, hayo ni matarajio ya wazee wao.

Huwezi kumhukumu baba au mama kwa dhambi za mwanawe. Hali kadhalika huwezi kumhukumu mtoto kwa dhambi za mamake au babake.
Huna point..na mfano wako ni irrelevant kabisa.
Mtoto unamzaa, Mungu ndo anayemua aweje, huwezi kuchagua sifa na tabia za mtoto wako..u can just influence them. Hawa watu wanateuliwa kutokana na sifa zao ambazo anayewateua anaamini wanafaa kumsaidia kuendesha serikali. Wanapofanya madudu hawana budi kuadabishwa na kuteleuliwa wengine kuchukua nafasi zao. Otherwise, aliyewaweka anabeba lawama pamoja nao.
 
Kuna watoto wa Wachungaji na Masheikh ambao ni majambazi, wala unga, wizi na uhuni wa kila aina. Jee, hayo ni matarajio ya wazee wao.

Huwezi kumhukumu baba au mama kwa dhambi za mwanawe. Hali kadhalika huwezi kumhukumu mtoto kwa dhambi za mamake au babake.

Ni sahihi kabisa! Na wewe utakuwa mchungaji au sheikh mpumbavu ajabu endapo utamwachia mwanao ambaye unafahamu fika kwamba ni jambazi au teja majukumu muhimu ya familia yako au shuguli zako; ni lazima na wewe uwe jambazi au teja kujaribu kufanya hivyo! Hatumhukumu mtu kwa matendo au "dhami" za wengine ila pale inapotokea "mwanao" kaharibu chukua hatua.

Ni mjinga na mpuuzi atakeye-justfy udhaifu wake kwa kuwa hata wachungaji na masheikh dhaifu wapo. Kwa mfano huu hutaweza kuwatetea hao uliotumwa hapa kuwatetea asilani.
 
This mama is nonsense.

Akiugua kwa sasa inabidi atafute hospitali yake mwenyewe maana madaktari hawachelewi ku-mwakyembe.
 
I support u 100%! maana vinginevyo asilalamike tukimtafsiri vingine.
Tafsiri tu ukitaka. Mimi na Faiza tunaongea Lugha tunayoelewana wewe kama huijui utakuwa unajionea mauza uza. Huoni Hoja ya Dowans na Symbion imeingia wewe unajua ni kwa nini ameiingiza hiyo hoja kwenye huu mjadala?
 
Ama kweli JF ni zaidi ya muvi ya James Bond, haya mwageni mambo tuzidi kuijua Tz zaidi ya tuijuavyo!

Gotta have this man....

popcorn1.jpg
 
Kwani wewe umewekwa na nani hapo kazini kwako, au huna kazi? saa hizi wakati wa kazi una fisadi mitandao na muda wa kazi, aliyekuweka hapo ndio alitegemea hayo kutoka kwako?
My excellent credentials ndio zimeniweka nilipo!
 
Autopilot, fichuwa madudu. Wako wengi hawa, na hawa wachache wenye tamaa za kupitiliza ndio wanaifanya nchi isitawalike.

FF,

Kweli matatizo hayaangalii sura,maumbile, dini wala itikadi. Kwa hili na kwa mara ya kwanza, nipo pamoja nawe. Faiza Fox labda uwakumbushe wenzio huko ndani kuwa French revolution haikutokea from thinair bali umma wenye njaa.

Angalizo, nakukumbusha kuwa uwe makini wenzio wasije kwenda kukuripoti umejiunga upande wa ukweli mwishoe wakakuamisha kutoka kwenye plum job as a System Analyst with special role ya kumonitor activities za mtandao wa JF na kuact kama Litmus paper ya sentiment. Wakikupeleka Nanjilinji tutakukumbuka kama AL-SAAF wa IRAQ.

Kazi njema.
 
Back
Top Bottom