King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,643
Wamekata lines maeneo ya jangwani hvyo wamesababisha maeneo mengi ya dsm kukosa umeme!!
Source:Tanesco
Source:Tanesco
Vodacom siku hizi wanakata line za umeme?Wamekata lines maeneo ya jangwani hvyo wamesababisha maeneo mengi ya dsm kukosa umeme!!
Source:Tanesco
Vodacom siku hizi wanakata line za umeme?
Mkuu eleza kama mnara wao umeangukia miundombinu ya umeme.
Wote ni watoto wa baba mmoja rostam so usishangae