Washakata umeme usiku huu Tanesco mnatakaje?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Baadhi ya maeneo ya Ubungo hatuna umeme sahizi

Wamekata mara nne leo mchana, asubuhi na usiku huu wamekata tena

Nia yao ni tulale Giza

Hili shirika limetutia hasara sana kila mtu sasahivi analalamika vitu vyake kuharibiwa au kuungua na wengi wanalia friji zao zimeharibika

Sahivi maeneo mengi ya Ubungo hayana umeme na baadhi ya kimara

Ubungo ndipo ilipo mitambo ya Songas lakini ndo kitovu cha migao ya umeme nchini
 
Back
Top Bottom