manopter2010
Member
- May 16, 2013
- 92
- 17
asante mkuuuuuuuuNi Telecom and Intenet services provider mkuu (Voice & Data).
asante mkuuuuuuuuNi Telecom and Intenet services provider mkuu (Voice & Data).
Uko sahihi mkuu..ila hujatuelezea kazi zako ndo zipi? Kupiga watu Roba au Robbery?Wanaume kwenye kuikosesha Serikali mapato sio!!?? Muulize yuko wapi jioni baada ya kuwa nyumbani na mkewe na watoto!? Shuwaini Kama wewe huwa naomba nikutane nao kwenye kazi zangu halafu uniletee hiyo jeuri.
Tutafahamiana tu hapo muda utakapofika.Uko sahihi mkuu..ila hujatuelezea kazi zako ndo zipi? Kupiga watu Roba au Robbery?
Jamaa hajui serikali ya awamu ya 5 ilishaondoka nini, ngoja tusubiri mwisho wa ili sakata
Hao Maafisa wa Serikal walinywea kwa kuwa Lugha iliyokuwa ikutumika hapo ya Kingledha sio mchezo tena kuongea kwa kubishana mbele ya media. Ingekuwa Kuswahili ungesikilizia biti la hao MaofisaJamaa ana confidence mpaka maafisa wa serikali wakagwaya isipokuwa yule mmoja! Mimi naona alikuwa anatetea upande wake ... Sometimes, hupaswi kuwanyenyekea maafisa wa serikali ...
Wakikuona boya watakutesa sana, isitoshe walienda na waandishi wa kuuzia sura. Hamjawahi kukutanana nao hawa! Mimi jamaa nimemkubali, huo ndo uanaume. Mwanaume gani anapenda kudharilika mbele ya mke/watoto kwenye Tv?!!
Hajaniwah ila assume haujaona habar ITV unaweza kumuelewa?sisi wengine si waanzisha threadMkuu amekuwahi nini?
Unahitaji kujadiliana na mwizi???!! Unahitaji kumbembeleza mwizi akurudishie alichokuibia. Pay what is due you will have no problem.Kwa namna ya wanasheria wa taasisi za serikali wasivyokuwa makini mara nyingi hunipa wasiwasi wa kodi ya wananchi kuja kutumika kulipa fidia. Kilichotokea leo,si dhani kama ni namna nzuri ya kufanya kwa makampuni yanayofanya biashara,tena ya mawasiliano. Hii move isiishie leo tu,tunahitaji majibu na hizo zaidi ya 8 bn kama hasara kwa serikali zilipwe kweli msifanye siasa katika biashara.
kwa ujeuri bila shaka kuna kitu anakiamini.Naona Hana uelewa wa Penal Code.
Hajui hata kumzuia afisa was TANESCO kusoma meter, selo inakuhusu!
Sembuse wao walioiba zaidi ya B 8!
nikajua ni mnigeria utafikiri kaiweka serikali mfukoni.Yule Shamte alijifanya hajui kiswahili.. nashangaa baadae akawa anaongea ITV kiswahili..
Labda tufanye mlinganyo kwanza, hapa Tz ni makampuni gani makubwa ya hii shughuli? Ajuaye atujuze kwanza! Nimemuona huyo jamaa akibishana na hao tcra officers, ana ubavu fulani!Ni Telecom and Intenet services provider mkuu (Voice & Data).