Mimi nashangaa Takukuru wanavyojenga majengo mazuri na wao kujifungia humo ndani!!Takukuru kwenye ofisi zao wameweka namba za ttcl kwa ajili ya mawasiliano ukipiga hata hazipatikani na hazipo!!hii inadhihirisha hawana lengo la kupambana na rushwa kabisa bali kitengo wala kodi zetu bure.
Hi I kampuni ni ya wale ndugu wawili walikuwa na kesi za EPA ( Jackson I ba janson ) naweza kukosea spelling za majina. Ila kuhusu kibao bango Lao mbona lipo pale getini na ni kubwa tu. Hivi dorini ------ makubwa bado yuko pale HR office? Mwalu je ? Siku zote kufanya kazi kwenye kampuni iliyokuwa outsourced ni shida kwani jasho lako ndio linaiendesha kampuni. Mshahara wako huenda ni 2000000 ila itakayofika kwako ni 1200000.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.